Taarifa NILIYOIFIKIA hivi punde ni kwamba majina ya usaili wa ma_asistance inspector yatatoka kesho. Jiandaeni kuvuna mlichokipanda. Ahsanteni sana.
SITAKI SWALI. WAWEZA UKANIDHIHAKI MAANA NI KAWAIDA YAKO ILA SITAKI SWALI MAANA SITOLIJIBU HAKIKA.

we janjawidi weweeeee. Anyway, tutafutane kesho jioni kwenye pm mida kama hii coz sasa niko bize kidogo.
KISHINDOooo.....nipo mkuu umepotea nakusubili kwa PM ....eeh babaNaombeni samahani kwa kutokuwajulisheni tangu asubuhi. Ilikuwa majina yatoke leo kwa wale inspectors but kuna dharura imejitokeza thats why hayajatoka. Kuweni na subira kwa masaa machache yajayo/siku chache zijazo. Nadhan mtakuwa mmenielewa.
Naombeni samahani kwa kutokuwajulisheni tangu asubuhi. Ilikuwa majina yatoke leo kwa wale inspectors but kuna dharura imejitokeza thats why hayajatoka. Kuweni na subira kwa masaa machache yajayo/siku chache zijazo. Nadhan mtakuwa mmenielewa.