Taharifa kutoka Zimamoto

Taharifa kutoka Zimamoto

KISHINDO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
2,202
Reaction score
1,957
Taarifa NILIYOIFIKIA hivi punde ni kwamba majina ya usaili wa ma_asistance inspector yatatoka kesho. Jiandaeni kuvuna mlichokipanda. Ahsanteni sana.
SITAKI SWALI. WAWEZA UKANIDHIHAKI MAANA NI KAWAIDA YAKO ILA SITAKI SWALI MAANA SITOLIJIBU HAKIKA.
 
Kijana nakwamini...vp recruitment ya mwaka huu ya TISS iko vzr kweli...unaionaje mkuu
 
we janjawidi weweeeee. Anyway, tutafutane kesho jioni kwenye pm mida kama hii coz sasa niko bize kidogo.
 
Taarifa NILIYOIFIKIA hivi punde ni kwamba majina ya usaili wa ma_asistance inspector yatatoka kesho. Jiandaeni kuvuna mlichokipanda. Ahsanteni sana.
SITAKI SWALI. WAWEZA UKANIDHIHAKI MAANA NI KAWAIDA YAKO ILA SITAKI SWALI MAANA SITOLIJIBU HAKIKA.

Ahsante sana ndugu, ht sisi hatuna maswali wala dhihaka, tutakuuliza au kukudhihaki kesho mida kama hii...
 
fasta jet hio,ndo watu wa mjin wanasema,ila mna uhakika au kuweka watu tumbo joto tu
 
Naombeni samahani kwa kutokuwajulisheni tangu asubuhi. Ilikuwa majina yatoke leo kwa wale inspectors but kuna dharura imejitokeza thats why hayajatoka. Kuweni na subira kwa masaa machache yajayo/siku chache zijazo. Nadhan mtakuwa mmenielewa.
 
KISHINDOooo.....nipo mkuu umepotea nakusubili kwa PM ....eeh baba
 
Last edited by a moderator:
Naombeni samahani kwa kutokuwajulisheni tangu asubuhi. Ilikuwa majina yatoke leo kwa wale inspectors but kuna dharura imejitokeza thats why hayajatoka. Kuweni na subira kwa masaa machache yajayo/siku chache zijazo. Nadhan mtakuwa mmenielewa.

Apology accepted,
next time uwe na evidance...
 
Back
Top Bottom