Tahadhari

Joined
Dec 20, 2017
Posts
8
Reaction score
2
TAARIFA KWA UMMA.

Hii taarifa ya Voda (kuzungusha gurudumu, ili ushinde zawadi) imesambaa sanaaa .Hawa ni matapeli, usijaribu kuingia kwenye account hiyo na kuweka details zako utaweza kudukuliwa mambo taarifa zako muhimu.Hivyo itakufanya utapeliwe!!

Sambaza kwa wengine, Utawasaidia!

Ahsante!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…