Tahadhari ya umeme

Kama ni kweli huyo dogo aliefariki ndio huyo wa juu.

Aliempiga picha ana makosa makubwa sana, badala ya kumuondoa dogo waya mdomoni yeye ameona bora picha
 
Kama ni kweli huyo dogo aliefariki ndio huyo wa juu.

Aliempiga picha ana makosa makubwa sana, badala ya kumuondoa dogo waya mdomoni yeye ameona bora picha

Mkuu inawezekana ni kamera zilisetiwa ndani. But apumzike kwa amani.
 
Kama ni kweli huyo dogo aliefariki ndio huyo wa juu.

Aliempiga picha ana makosa makubwa sana, badala ya kumuondoa dogo waya mdomoni yeye ameona bora picha

Siye, ona nguo walizovaa
 
Hapana mkuu, isingekuwa na weupe huko shingoni. Halafu naona kama mmoja mzungu mwingine kanjibhai.

Kwa mtoto haina shaka ni yeye kwa nguo pengine ndani alikuwa na singland ila sina guarantee katika hilo
 
Watoto hutakiwa kuepushwa na vingi ndani ya nyumba ikiwemo matoleo ya umeme, ngazi, vyanzo vya moto nk
 
ina maana mpuga picha alijiandaa kwa mayukio yote
 
Malezi ya mtoto ni magumu mno kazungukwa na vitu vingi vya hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…