steveson manumbu
JF-Expert Member
- Apr 1, 2014
- 887
- 178
wana hack e-mail yako na mawasiliano yote e.g transcription za mitonyo n.k wanakaba wao...ma B.A telecomm na ma I.T kibao kitaani unategemea nn?Then wana do what? Ukituma hiyo e mail na number yako inakuwaje. Dadavua basi mkuu tujue!
Then wana do what? Ukituma hiyo e mail na number yako inakuwaje. Dadavua basi mkuu tujue!
wana hack e-mail yako na mawasiliano yote e.g transcription za mitonyo n.k wanakaba wao...ma B.A telecomm na ma I.T kibao kitaani unategemea nn?
ukijahamaki majanga!! ndo utajua watu hawataki masihara,..HALI NGUMU!!
akili kumkichwa!!na wakihack meanz mawasiliano yako ypte kabla ya kufika sehemu husika wao ndo wanakuwa wa kwanza kupata taarifa zako then wanaanza kuact kama ndo wale unaowasilianano .
akili kumkichwa!!