Tahadhali: Wizi wa Mb Halotel

Mimi nilikiwa nausifia sana huu mtandao miezi miwili iliyopita lkn kwa sasa nimeiweka laini yao kwenye wallet kwanza
 
Ni kweli kabisa, hata mm ilishanikuta hiyo kadhia. Nilinunua kifurushi cha wk cha Tshs 2500 nikapewa mb 2560 lkn kabla ya saa 24 hazijaisha naambiwa sina bando la mb na sikufungua hata YouTube labda wangesema nimetumia zikaisha. Nilipowapigia sim hakuna cha maana walichonijibu. Nowadays natumia sana voda kuliko halotel, nachelea kusema halotel ni wezi na wasipobadilika wateja wengi watawakimbia.
Mmmmh mitandao karibu yote ina matatizo hayo, ipo mingine kama voda zikibaki dakika chini ya 10 ukipiga tu Simu mtu akapokea utaambiwa huna Salio la kutosha.Ni maajabu ya Tza haya.Coz TCRA wanatakiwa waingilie kati , maana huu ni wizi tu.
Kuhusu MB kwa Halotel ni kweli kabisa awali walikuwa poa sana lakini sasa mmmmh.
 
HALOTELIIIIIIII WEZIIIIII....!! Me nlishtukia hiyo ishuu kitambo sanaaa....jamaa waizii wa mb sana hao
 
Hawa jamaa walianza vizuri sana,speed kali na bei nafuu mpaka nikawa addicted nao

Majuzi wamepandisha bei ya vifurushi na speed imeshuka bado nipo loyal ila this week nimegundua kitu cha ajabu sana,mb zinakatika kwa speed ya ajabu nikasema jana usiku nifanye jaribio fulani

Nimelala saa nne nikiwa na MB 1000 nikazima data na simu kabisa,naamka saa 12 nina MB 200 jesus christ nikasema ni peruse jamii forums,in 30 minutes nina MB 0,nikiwapigia wananiambia eti niende kwenye office zao

Leo naweka mb kwa mara ya mwisho nione tena wizi wao unaendaje,jamani HALOTEL VAS kuweni na huruma jamani,uchumi wenyewe wa kibashite tunaumizana hivi? mimi mwenyewe ni mteje loyal kila siku naunguza karibu 4,000 kwa mb zenu mnanifanyia hivi jamani??

UPADATE: saa 8.30 asubuhi niliweka tena 1500 mb sasa hivi saa 12.52 mchana nina 411 mb,hapo nipo jf na facebook tu toka asubuhi,sijadownload kitu wala sija stream video....ENOUGH IS ENOUGH HALOTEL VAS narudi airtel hata kama speed ndogo lakini kufanywa bashite kwa kuibiwa mb siwezi tena...byebye,itabaki line ya kupokelea simu tu.
Is true kuna kitu hakiko sahihi,nilijiunga na bandle la chuo la wiki 2500;juzi jana kkmekata ambapo kulikuwa na mb zaid ya 2000 yaani 2 GB..NADHAN KUNA KOSA,LA KIUFUNDI KWENYE MTANDAO
 
Halotel ni majizi ya mchana kweupe! Tukubaliane kuwapa talaka kwa mkupuo, tuhame, tuvunjevunje sim card zao na kupiga kampeni kubwa ya kuwasusia
 
Hawa jamaa walianza vizuri sana,speed kali na bei nafuu mpaka nikawa addicted nao

Majuzi wamepandisha bei ya vifurushi na speed imeshuka bado nipo loyal ila this week nimegundua kitu cha ajabu sana,mb zinakatika kwa speed ya ajabu nikasema jana usiku nifanye jaribio fulani

Nimelala saa nne nikiwa na MB 1000 nikazima data na simu kabisa,naamka saa 12 nina MB 200 jesus christ nikasema ni peruse jamii forums,in 30 minutes nina MB 0,nikiwapigia wananiambia eti niende kwenye office zao

Leo naweka mb kwa mara ya mwisho nione tena wizi wao unaendaje,jamani HALOTEL VAS kuweni na huruma jamani,uchumi wenyewe wa kibashite tunaumizana hivi? mimi mwenyewe ni mteje loyal kila siku naunguza karibu 4,000 kwa mb zenu mnanifanyia hivi jamani??

UPADATE: saa 8.30 asubuhi niliweka tena 1500 mb sasa hivi saa 12.52 mchana nina 411 mb,hapo nipo jf na facebook tu toka asubuhi,sijadownload kitu wala sija stream video....ENOUGH IS ENOUGH HALOTEL VAS narudi airtel hata kama speed ndogo lakini kufanywa bashite kwa kuibiwa mb siwezi tena...byebye,itabaki line ya kupokelea simu tu.
Ni ukweli mtu hata mimi nimefanya utafiti nimegundua hilo. Yeyote anayetumia Halotel afanye utafiti atagundua kuwa sasa tunaibiwa mb zetu.
 
Halotel majanga tigo majanga kila siku wanapunguza vifurushi sijui hata niende mtandao gani
d540f742f61bcb11c75a04959e7d5762.jpg
 
Pole mkuu mimi nilishaenda ofisini kwao nikaambiwa eti sababu wameongeza speed, jamaa wajinga sana watu wengi wanalalamika lakini TCRA wako kimya.
Tcra yenyewe inashughurikia masuala ya watu wawili daudi bashite na pogba
 
Back
Top Bottom