Nimeenda pale Oilcom Victoria tyre centre pembeni ya duka la nguo wanapouza tairi za good year.
Nimekwenda kubadilisha tairi wakaiba na tyre valve. Kama mnavyoona kwenye link hii kwa michuzi toka 2012 bado wanaendekeza njaa MICHUZI BLOG: TAHADHALI KWA madereva WANAWAKE!.
Kuweni waangalifu mnaokwenda pale.