Tahadhari watumiaji wa tigo!!

Mitandao ya simu inatupiga mtungo watanganyika

Kila sehemu vilio tu
 
Nimewahi kusema humu jf kwa wale waliokuwa wanaisifia tiGO kwamba wanaongezewa hela kama kumjali mteja. Sasa ndio zimeanza kurudi hela zao kwa style hiyo.
 
makampun sjui yanatumiwa na ccm kujivunia pesa za kampen mwakan?wazee wa kanga na kapelo yelo
 
Unamaanisha tigo ipi bos?wakokwe tunapeta
 

Mkuu hebu chukuwa lita moja ya uhai ya baridi kunywa upunguze hasira..nahisi unaweza kuitafuna hiyo laini kuwakomoa tigo.
 
mimi nawashangaa sana 900Mb kwa999 kwasiku lakini 2Gb kwa 6000 kwa wiki not relevant wakuu hata mm nimeshtuka sijui kwa nini Tigo wamefanya mabadiliko haya yasiyo na tija
 
 
Wapuuzi kweli ati leo alfajiri saa11 wananitumia sms kunikumbusha niwalipe deni lao nililokopa tar15 wakati tangu nianze kutumia mtandao wao sijawahi kukopa.
 
nilikuwa nanunua dakika 25 kwa 499 za tigo kwenda tigo leo wamepunguza zimekuwa 20 kwel nimeamin tigo hawana huruma wamekuwa kama majangiri
 

voda & tigo wezi,cha ajabu watu bado wanawawangania tu,hamia airtel au zantel
 
Nimewahi kusema humu jf kwa wale waliokuwa wanaisifia tiGO kwamba wanaongezewa hela kama kumjali mteja. Sasa ndio zimeanza kurudi hela zao kwa style hiyo.

Na bdo.....nyie jinatisheni hukohuko!! Mi walishawah kunipa kifurush cha wiki bure kabisa ila baada ya hapo vifurush vkabdilika gharama ikapanda.
 
voda & tigo wezi,cha ajabu watu bado wanawawangania tu,hamia airtel au zantel



Vodacom wameamua kupunguza MB kwenye vifurushi vyao..

Ilikuwa Tsh. 899/= unapata 100MB, sasa wanatoa 10MB.... Ina maana wamepunguza kwa 90%....

Huu ni uhuni wa wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…