mpinga shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,234
- 960
Kwani si ipo ile special thread yao au ni voda wale???
Wale ni voda mkuu,tiGO hawana uzi wao humu.
Je, wanawashinda Vodacom kwa WIZI? maana vodacom kwa wizi na utapeli kiboko, sijawahi kuonaHawa wezi wakubwa. TIGO Wamedhihirisha ujambazi wao sasa. Walitangaza kuwa kifurushi cha Internet cha 20000 kwa mwezi ni GB 30.
Nimeweka 20000 leo na kupewa 5GB kwa mwezi. Tafadhali usiingie mkenge. Mjulishe na mwenzako asije akaporwa hela zake. Naitupa mbali line ya Tigo. Tigo ni wezi na matapeli
I see ni shida nilikuwa na mpango wa kusajili line ya tigo baada ya voda kupunguza kifurushi cha mia tano! Mkuu nashukuru
Hawa wezi wakubwa. TIGO Wamedhihirisha ujambazi wao sasa. Walitangaza kuwa kifurushi cha Internet cha 20000 kwa mwezi ni GB 30.
Nimeweka 20000 leo na kupewa 5GB kwa mwezi. Tafadhali usiingie mkenge. Mjulishe na mwenzako asije akaporwa hela zake. Naitupa mbali line ya Tigo. Tigo ni wezi na matapeli
Nimeshtuka nikajua ni kale kamchezo ketu pendwa, kumbe ni hawa mafala...Hawa wezi wakubwa. TIGO Wamedhihirisha ujambazi wao sasa. Walitangaza kuwa kifurushi cha Internet cha 20000 kwa mwezi ni GB 30.
Nimeweka 20000 leo na kupewa 5GB kwa mwezi. Tafadhali usiingie mkenge. Mjulishe na mwenzako asije akaporwa hela zake. Naitupa mbali line ya Tigo. Tigo ni wezi na matapeli
I see ni shida nilikuwa na mpango wa kusajili line ya tigo baada ya voda kupunguza kifurushi cha mia tano! Mkuu nashukuru
Nilinunua kifurushi cha wiki badala ya 8 wakanipa GB 2. Wanasema nunua kabla mud a haujaisha ukomboe zilizobaki.
Ngoja wavietnam wamalizie minara yao ya vitel mwakani kila kitu kitaeleweka