Tahadhari wanaukombozi

Tahadhari wanaukombozi

kwakina itafakari

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2018
Posts
730
Reaction score
1,626
Ndugu zangu wote wenye nia njema na Taifa hili,naona kuna JUHUDI za makusudi kuonyesha hii hali tuliyomo sasa imesababishwa na mgogoro baina ya lissu na Samia au CCM na CHADEMA

Wanataka kujifanya kumuachia lissu ili mambo yaishe turudi kule kule tulipotoka,tusikibali hata kidogo kufanyiwa ULAGHAI wa aina yoyote

Madai yetu hayapo tena kwenye level za vyama au watu fulani, hii Nchi sio mali ya kikundi flani cha watu au wanasiasa,sio lissu tu BALI NA WENGINE WOTE WALIOKAMATWA KIUONEVU WAACHIWE na kikubwa zaidi CCM IVUNJWE NA WAHUSIKA WOTE WA HII KADHIA WAWAJIBISHWE KWA NAMNA ZOTE ZINAZOWEZEKANA

HAITOKWENDA BURE DAMU YA WOTE WALIOKUFA KABLA,KATIKA NA BAADA YA MAANDAMANO

mkilazimisha,tupo tayari Nchi itumbukie VITANI rasmi

Tukienda kwenye PLAN B,hii Nchi haitakuwa tena kama awali,endeleeni kujifanya MAJUHA sasa
 
Nakuunga mkono, ila tuliza munkari, hatuhitaji kuona damu zinazidi kumwagika asee
 
Sijafika huko chini ya mada; lakini haya maneno hapa sijui kwa nini umefikiria hivi; au hata wao sidhani kuwa wanaweza kuwa na fikra za aina hii.

Hali ya sasa siyo ya CHADEMA wala nani; ni swala la waTanzania kwa ujumla wetu sote.
Kama huko ndani ya CCM bado kuna watu wanafikiri wanaweza kumtumia Tundu Lissu (ambaye najuwa hawezi kukubali kutumika); hao watakuwa akili zao hazipo sawasawa.
 
Unajuwa njia sahihi iliyo baki kuzuia damu kumwagika ni kwa Samia na Genge lake lote kuachia Tanzania iwe huru.

Hakuna njia ya wao kubaki madarakani tena, na kufanya damu isiendelee kumwagika. Wao ndio wanaomwaka damu ya waTanzania; wakiendelea kukaidi hata damu yao itaanza kumwagika.
 
Sijafika huko chini ya mada; lakini haya maneno hapa sijui kwa nini umefikiria hivi; au hata wao sidhani kuwa wanaweza kuwa na fikra za aina hii.

Hali ya sasa siyo ya CHADEMA wala nani; ni swala la waTanzania kwa ujumla wetu sote.
Kama huko ndani ya CCM bado kuna watu wanafikiri wanaweza kumtumia Tundu Lissu (ambaye najuwa hawezi kukubali kutumika); hao watakuwa akili zao hazipo sawasawa.
 
Attachments

  • 1000186637.jpg
    1000186637.jpg
    250.3 KB · Views: 8
Basi huyu atakuwa anayo matatizo makubwa sana kichwani, kama anadhani ataendelea kuitawala nchi hii kwa mabavu.
 
Ndugu zangu wote wenye nia njema na Taifa hili,naona kuna JUHUDI za makusudi kuonyesha hii hali tuliyomo sasa imesababishwa na mgogoro baina ya lissu na Samia au CCM na CHADEMA

Wanataka kujifanya kumuachia lissu ili mambo yaishe turudi kule kule tulipotoka,tusikibali hata kidogo kufanyiwa ULAGHAI wa aina yoyote

Madai yetu hayapo tena kwenye level za vyama au watu fulani, hii Nchi sio mali ya kikundi flani cha watu au wanasiasa,sio lissu tu BALI NA WENGINE WOTE WALIOKAMATWA KIUONEVU WAACHIWE na kikubwa zaidi CCM IVUNJWE NA WAHUSIKA WOTE WA HII KADHIA WAWAJIBISHWE KWA NAMNA ZOTE ZINAZOWEZEKANA

HAITOKWENDA BURE DAMU YA WOTE WALIOKUFA KABLA,KATIKA NA BAADA YA MAANDAMANO

mkilazimisha,tupo tayari Nchi itumbukie VITANI rasmi

Tukienda kwenye PLAN B,hii Nchi haitakuwa tena kama awali,endeleeni kujifanya MAJUHA sasa

Mkuu Tulia boli. Hakuna anayetaka tuwe kama Sudan. Point is now sent. What are we going to benefit if things escalates even further. Unless kama CCM wanataka kuprove point kuwa nchi haiwezi kuwa na amani bila wao madarakani. It has to stop now.
 
Ndugu zangu wote wenye nia njema na Taifa hili,naona kuna JUHUDI za makusudi kuonyesha hii hali tuliyomo sasa imesababishwa na mgogoro baina ya lissu na Samia au CCM na CHADEMA

Wanataka kujifanya kumuachia lissu ili mambo yaishe turudi kule kule tulipotoka,tusikibali hata kidogo kufanyiwa ULAGHAI wa aina yoyote

Madai yetu hayapo tena kwenye level za vyama au watu fulani, hii Nchi sio mali ya kikundi flani cha watu au wanasiasa,sio lissu tu BALI NA WENGINE WOTE WALIOKAMATWA KIUONEVU WAACHIWE na kikubwa zaidi CCM IVUNJWE NA WAHUSIKA WOTE WA HII KADHIA WAWAJIBISHWE KWA NAMNA ZOTE ZINAZOWEZEKANA

HAITOKWENDA BURE DAMU YA WOTE WALIOKUFA KABLA,KATIKA NA BAADA YA MAANDAMANO

mkilazimisha,tupo tayari Nchi itumbukie VITANI rasmi

Tukienda kwenye PLAN B,hii Nchi haitakuwa tena kama awali,endeleeni kujifanya MAJUHA sasa

Lissu yupo jela miezi sita sasa!!! hakuna wakusingizia
 
Huyu JAMBAZI Samia anasema::
"Wacha historia ikumbuke kwamba tulichagua AMANI (bila HAKI), badala ya vurugu"

WaTanzania tunamwambia:
"Haitokwenda bure damu ya wote waliokufa kabla, katika na baada ya maandamano".

Kama gharama ya kuikomboa Tanzania kutoka mikononi mwa waovu hawa ni kwa Mh. Tundu Lissu kuendelea kuwa gerezani, basi namwomba sana atuvumilie waTanzania kwa muda atakaokuwa huko gerezani wakati tukikomboa nchi hii kutoka mikononi mwa watu waovu hawa..

Huyu mwanamke, hata damu ya waTanzania ambayo tayari amekwisha imwaga haimstui chochote kabisa? Huyu ni binaadam wa aina gani huyu?
 
Sijafika huko chini ya mada; lakini haya maneno hapa sijui kwa nini umefikiria hivi; au hata wao sidhani kuwa wanaweza kuwa na fikra za aina hii.

Hali ya sasa siyo ya CHADEMA wala nani; ni swala la waTanzania kwa ujumla wetu sote.
Kama huko ndani ya CCM bado kuna watu wanafikiri wanaweza kumtumia Tundu Lissu (ambaye najuwa hawezi kukubali kutumika); hao watakuwa akili zao hazipo sawasawa.
Hawajawahi kuwa kuwa akili sawasawa, wanaweza kufanya lolote, kama hilo, maana kwa akili zao walishatuona sisi ni Manyani
 
Mkuu 'Nyamaiso', jaribu iwezekanavyo kutenganisha viongozi wa CCM na mamilioni ya wanachama wa chama hicho; ambao mimi naamini kabisa kuwa hawana tofauti na tulivyo sisi waTanzania wengine wote.

Hawa ndio ninao walenga mimi katika maoni yangu hapo uliyo ni'quote'.
 
Back
Top Bottom