Tahadhari: Usinunue baloon hili..................

baloon matata sana hili....duh.......ila zuri
 
Umeipende Preta, mimi ninazo nyingi tu ila jamaa anataka kunivunjia soko tu. Bei ni maelewano tu.
 
Dah!! Hii inawafaa sana akina dada!
 
ha ha haa.....baluni safi sana hilo.
 
Kweli ubongo wa binadamu haushindwi kitu!!! mhhh hii kali sana.
 
Duuh hapa bongo hayajaingia bado.,kuna mtu nataka nimpe zawadi.
 
Kilichonifurahisha, aliyepuliza ni mwanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…