Juzi juzi kijana wa bodaboda alisababisha kifo chake kwa mikogo,eti aligeuza shati lake vifungo akafungia mgongoni, baada yakupata ajali wasamaria wema walifika kumsaidia walipoona shati limevaliwa kinyume wakadhani kijana kaumia sana mpaka shingo limegeuka mbele nyuma.
Wakakubaliana kuwa huduma ya kwanza nikurudisha shingo katika hali yake ya kawaida ikawa vuta nikuvute nguo kuchanika kumbe ndio wakawa wanamsogeza kwa godi!