Longolongo tu,nguvu za kiume ni jinsi unavyoi-tune akili yako.ukihisi kushindwa utashindwa kweli ukihisi kushinda utashinda kweli hao wanawauzia maji tu ni vile wabongo kuamini kila kitu ni dawa na kila kitu ni maradhi ndo maana wanawapiga changa huku wakijiona.
As long as mtu hukuzaliwa na tatizo na unakula fresh, upungufu wa nguvu za kiume ni akili tu.Longolongo tu, nguvu za kiume ni jinsi unavyoi-tune akili yako.ukihisi kushindwa utashindwa kweli ukihisi kushinda utashinda kweli hao wanawauzia maji tu ni vile Wabongo kuamini kila kitu ni dawa na kila kitu ni maradhi ndo maana wanawapiga changa huku wakijiona.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Mr. Daniel, unahusishaje biashara ya mtu na uislaam? Kama tukianza kuangalia ma vitu ya ajabu katika dini ukristo unamavitu ya ajabu kuliko dini yoyote. Kama unaweza weka mada tujadili.
Acha machuki ya kijinga, jadili mada ya iliyoletwa. Kama huwezi kaa kimya
Sent using Jamii Forums mobile app
Cc mrangiNamimi niliwahi kuuliza lakini sikupata jibu la maana kwanza waliniambia kinywaji chenyewe kinatokana na mti unaitwa kasusu mara nyingi unapatikana kondoa ila wameongeza jina la alkasusu ili lionekane kama la kiarabu labda ndio maana wanavaa kanzu waonekane kama ni waarabu ila mti wa mkasusu unaongezwa na vitu vingine kama maziwa karafuu na iliki.
Yale yale ya babu wa Loliondo. Ni utapeli tu., Wajinga ndio waliwao.Longolongo tu,nguvu za kiume ni jinsi unavyoi-tune akili yako.ukihisi kushindwa utashindwa kweli ukihisi kushinda utashinda kweli hao wanawauzia maji tu ni vile wabongo kuamini kila kitu ni dawa na kila kitu ni maradhi ndo maana wanawapiga changa huku wakijiona.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Ugomvi wa ngumi huuUmewahi kuta mkristu amevaa kanzu anazunguka mtaani anayauza hayo makitu ya hovyo? Waislamu ndio wahusika na watumiaji wakubwa, huenda ndio mnaoongoza kwa upungufu wa nguvu za kiume ndio maana mnabuni boosta mbalimbali kama hiyo.
Hii huenda huwa mnatangaziwa msikitini muitumie kwa wingi
Dar hiyo kasusu inapatikana sehemu gani.Sijawahi kuona wauzaji wa hichi kinywaji wakiwa na nguo nyingine tofauti na kanzu. Hii ni sare au kuvaa hivi kumetokana na nini?
Nimeanza kunywa na nimependa kazi yake,hizi ni zaidi ya energy drink zote lakini sijajua kama zina madhara ama la.
Sent using Jamii Forums mobile app
Masharti ya nanii hayoSijawahi kuona wauzaji wa hichi kinywaji wakiwa na nguo nyingine tofauti na kanzu. Hii ni sare au kuvaa hivi kumetokana na nini?
Nimeanza kunywa na nimependa kazi yake,hizi ni zaidi ya energy drink zote lakini sijajua kama zina madhara ama la.
Sent using Jamii Forums mobile app
KumbeeeLongolongo tu,nguvu za kiume ni jinsi unavyoi-tune akili yako.ukihisi kushindwa utashindwa kweli ukihisi kushinda utashinda kweli hao wanawauzia maji tu ni vile wabongo kuamini kila kitu ni dawa na kila kitu ni maradhi ndo maana wanawapiga changa huku wakijiona.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Dah mashikolo...hyo ndo kinywaji gan aise?
Ukiinywa unakuwaje??unaongeza nguvu za kiume au
Aisee hilo swali na mimi jana nimemuuliza jamaa yangu anaipenda sana hiyo kitu, tena kanzu nyeupe!, jibu alilonipa halikuniridhisha bado natafuta majibu zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Reeelax guys hiyo inaitwa kiingiacho mjini. Haina haja ya kupigiana makelele.
Mbona wakopeshaji wengi uswahilini ni waha na hakuna thread