Yo Yo ni kweli kabisa pale mahali si salama hata kidogo.Ndugu watanzania leo nawaambia hii kitu inatokea lakini sasa hivi is too much,eneo la kibiashara la mlimani city ni hatari sana kwa wizi wa magari,side mirrors na vifaa vingine vya magari ..watu kibao wamelizwa hata sasa hivi ninavyopost kuna mtu analizwa
Ukiacha mkoba,laptop au kitu kingine ndani umeliwa!!! Wale jamaa ni soo ukifika pale kuna watu wana ku monitor mmoja anakufuatilia kila hatua unapokuwa ndani ya malls akiwasiliana na wengine kwenye parking ambao kazi yao ni kuchukua wanachokitaka watu wamelizwa mpaka magari . Afu kuna vijamaa vinasimama jukwaani vinasema Tanzania amani tele ..kudadadeki amani gani watu sasa wakija na magari yao wanangoa side mirrors na kuingia nazo ndani wakiogopa kulizwa?
Anyway ninachowaambia mkienda Mlimani city na motokaa zenu muwe makini Hivi nani anahusika na ulinzi Mlimani city?
na ngono kwenye eneo la parking jamani!!! kuna watu wanapaki magari,hawatoki,gari zinztikisika tuuuu...
...I like this!!!..na ngono kwenye eneo la parking jamani!!! kuna watu wanapaki magari,hawatoki,gari zinztikisika tuuuu...
na ngono kwenye eneo la parking jamani!!! kuna watu wanapaki magari,hawatoki,gari zinztikisika tuuuu...
na ngono kwenye eneo la parking jamani!!! kuna watu wanapaki magari,hawatoki,gari zinztikisika tuuuu...
...I like this!!!..
Ngono kwenye magari zimezidi pale mlimani city,hili suala limekuwa tatizo hasa pembezoni karibu na barabara ya sam nujoma. Watu wanafanya short time pale kinoma. Ulinzi unabidi uimarishwe zaidi.[/QUOTE]
Mimi silioni hili la ngono kama tatizo ambalo linahitaji immediate attention ya management, unless kama unasema kuna issue za ubakaji, kwani wanaofanya si wamekubaliana? . La msingi management ingeshughulikia tatizo la wizi, naamini pakiwa na nia ya kweli na dhati wizi utapungua kama si kwisha kabisa.
Siku ninazokwenda pale ikinilazimu, basi inanibidi kuzunguka na kuvizia parking za karibu na samaki samaki. Na ushauri mwingine never leave valuable zikionekana, kama una laptop na hutaki kutembea nayo, bora kabla ya kufika mlimani iweke kwenye buti.