mwanamichakato
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 889
- 706
Kuna mabilioni ya fedha yanatolewa na wafadhiri kuhamasisha ushoga duniani na nchi yetu ikiwa mmoja wa wafaidika wakubwa...
Miradi ya afya ya Wanaoitwa wadau wa maendeleo inapaswa kuchunguzwa sasa..Wizara ya Afya wanapaswa kuwa makini zaidi ktk ku approve ,kussupport na kushirikiana na baadhi ya hizi taasisi sizizo na nia njema kwa taifa letu.
Miradi mingi imeanzishwa na kutekelezwa kwa kulenga kutimiza matakwa ,kiu,makusudio na mipango ya muda mrefu ambayo yaweza kuwa na madhara kwa taifa kesho na kesho kutwa ikiwa hatua stahiki hazichukuliwa.Utamaduni wetu,heshima,utu,..vinapaswa kuheshimiwa na yeyote mwenye nia ya kushirikiana nasi,kutusaidia na kutuwezesha kisiasa,kijamii na kiuchumi.
Leo hii kuna taarifa na ushahidi kwamba mashirika ya kimataifa kadhaa yasio ya kiserikali {Kwa kushirikiana na mashirika ya ndani} yatatumia mabilioni ya fedha kutekeleza miradi ya kuhamasisha ushoga kupitia kutoa vifaa/Nyenzo {vilainishi maalumu} vya kuwawezesha mashoga kujaamiana kwa ufanisi/starehe zaidi..
Zaidi pia elimu maalumu imekuwa ikitolewa kwa mashoga { wapenzi wa jinsia moja} ktk namna inayoashilia uhamasishaji mkubwa wa vitendo hivi vilivyo kinyume na tunu za kitamaduni ktk nchi yetu...,Pia fedha nyingine nyingi zimekuwa zikitolewa kuboresha mazingira ya ukahaba kupitia miradi mbalimbali ya afya inayotekelezwa sehemu mbalimbali za nchi yetu..
Ninayo matumaini makubwa Serikali ya awamu hii haitofumbia macho haya ninayoweza kuyaita ni uozo,Uchafu,laana kwa taifa..Inatosha sasa..bora tukose inayoitwa misaada ya maendeleo kuliko utu wetu kudhalilishwa sababu ya umaskini uliotengenezwa