Tahadhari: Mabilioni Yatumika Kuhamasisha Ushoga Kupitia Ngo's

mwanamichakato

JF-Expert Member
Mar 20, 2015
702
500
Kuna mabilioni ya fedha yanatolewa na wafadhiri kuhamasisha ushoga duniani na nchi yetu ikiwa mmoja wa wafaidika wakubwa...

Miradi ya afya ya Wanaoitwa wadau wa maendeleo inapaswa kuchunguzwa sasa..Wizara ya Afya wanapaswa kuwa makini zaidi ktk ku approve ,kussupport na kushirikiana na baadhi ya hizi taasisi sizizo na nia njema kwa taifa letu.

Miradi mingi imeanzishwa na kutekelezwa kwa kulenga kutimiza matakwa ,kiu,makusudio na mipango ya muda mrefu ambayo yaweza kuwa na madhara kwa taifa kesho na kesho kutwa ikiwa hatua stahiki hazichukuliwa.Utamaduni wetu,heshima,utu,..vinapaswa kuheshimiwa na yeyote mwenye nia ya kushirikiana nasi,kutusaidia na kutuwezesha kisiasa,kijamii na kiuchumi.

Leo hii kuna taarifa na ushahidi kwamba mashirika ya kimataifa kadhaa yasio ya kiserikali {Kwa kushirikiana na mashirika ya ndani} yatatumia mabilioni ya fedha kutekeleza miradi ya kuhamasisha ushoga kupitia kutoa vifaa/Nyenzo {vilainishi maalumu} vya kuwawezesha mashoga kujaamiana kwa ufanisi/starehe zaidi..

Zaidi pia elimu maalumu imekuwa ikitolewa kwa mashoga { wapenzi wa jinsia moja} ktk namna inayoashilia uhamasishaji mkubwa wa vitendo hivi vilivyo kinyume na tunu za kitamaduni ktk nchi yetu...,Pia fedha nyingine nyingi zimekuwa zikitolewa kuboresha mazingira ya ukahaba kupitia miradi mbalimbali ya afya inayotekelezwa sehemu mbalimbali za nchi yetu..

Ninayo matumaini makubwa Serikali ya awamu hii haitofumbia macho haya ninayoweza kuyaita ni uozo,Uchafu,laana kwa taifa..Inatosha sasa..bora tukose inayoitwa misaada ya maendeleo kuliko utu wetu kudhalilishwa sababu ya umaskini uliotengenezwa
 
John Cannor

JF-Expert Member
Jun 6, 2016
1,467
2,000
Ni ngumu sana kuzuia mvua kwa viganja vya mkono isikunyeshee.

Hii ni laana na inazidi kutafuna bara la giza, AFRIKA.
 
Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
50,067
2,000
Hii vita mlitakiwa mpigane kimyakimya.
Hawa mashetani wakikubana huchomoki.
Msubiri vikwazo na masharti magumu.
 
benruby

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
233
250
Yataje hayo mashirika, bandiko refu kama hili siku nyingine hakikisha unataja hizo NGO na kiasi cha pesa wanachopewa
Kwani we ukitajiwa hzo pesa wanazochukua itakusaidia nn,au ndo umeamua tu kutaka marumbano ya hoja na uwezo wako kufikiri,hivyo vitu vipo na nayo mashirika yapo..Muhimbili ni sehemu moja wapo ya watoaji wa hzo semina mashoga wanamwagana hapo km watu wanaokwenda kunywa methadone
Nadhani mtoa thread kaamua tu kukupa taarifa ili ujue hv vitu vipo nchini kwetu hata km tunapinga ushoga wapo wajalaana wanaokubaliana na hyo kitu
 
Dream Queen

JF-Expert Member
Nov 4, 2015
4,996
2,000
Nauliza waungwana, wakisema MASHOGA, wanamaanisha mpk wanawake wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja? Au Mashoga inabaki kwa wanaume tu?

Ufafanuzi plz.
 
Technology

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
767
500
Mbona umetokwa na povu?hutaki tuyajue hayo mashirika una interest na mashirika au na hao mashoga?
Kwani we ukitajiwa hzo pesa wanazochukua itakusaidia nn,au ndo umeamua tu kutaka marumbano ya hoja na uwezo wako kufikiri,hivyo vitu vipo na nayo mashirika yapo..Muhimbili ni sehemu moja wapo ya watoaji wa hzo semina mashoga wanamwagana hapo km watu wanaokwenda kunywa methadone
Nadhani mtoa thread kaamua tu kukupa taarifa ili ujue hv vitu vipo nchini kwetu hata km tunapinga ushoga wapo wajalaana wanaokubaliana na hyo kitu
 
kilimbamula

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
1,792
2,000
Ukirudishwa kazini ambako ulikuwa mfanyakazi mtiifu wa hizo NGO kabla ya kufukuzwa utarudi hewani kuendeleza mapambano?
 
Joel

JF-Expert Member
Sep 1, 2007
988
1,000
Nauliza waungwana, wakisema MASHOGA, wanamaanisha mpk wanawake wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja? Au Mashoga inabaki kwa wanaume tu?

Ufafanuzi plz.
Mkuu everhut,mashoga inajumlisha na wanawake wanaofanya mapenzi wao kwa wao/jinsi moja.
 
Joel

JF-Expert Member
Sep 1, 2007
988
1,000
Nauliza waungwana, wakisema MASHOGA, wanamaanisha mpk wanawake wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja? Au Mashoga inabaki kwa wanaume tu?

Ufafanuzi plz.
Mkuu,kuna kitu wanaita LGBT au GLBT,ambayo ni Lesbians,Gays,Bisexual, and Transgender.
Hii maana yake ni Wasa..ji(Lessie),Waf..jwi na Wafi..ji(Gays),Wale wanaofanya na kufany..wa(Bisexual) na Waliobadili jinsi(Transgender).
Zote ni dhambi kubwa sana kwa Mwenyezi Mungu no matter what.
Nauliza waungwana, wakisema MASHOGA, wanamaanisha mpk wanawake wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja? Au Mashoga inabaki kwa wanaume tu?

Ufafanuzi plz.
Mkuu,kuna kitu wanaita LGBT au GLBT,ambayo ni Lesbians,Gays,Bisexual,Transeng
 
Dream Queen

JF-Expert Member
Nov 4, 2015
4,996
2,000
Mkuu,kuna kitu wanaita LGBT au GLBT,ambayo ni Lesbians,Gays,Bisexual, and Transgender.
Hii maana yake ni Wasa..ji(Lessie),Waf..jwi na Wafi..ji(Gays),Wale wanaofanya na kufany..wa(Bisexual) na Waliobadili jinsi(Transgender).
Zote ni dhambi kubwa sana kwa Mwenyezi Mungu no matter what.

Mkuu,kuna kitu wanaita LGBT au GLBT,ambayo ni Lesbians,Gays,Bisexual,Transeng
Duuuh! Kumbe wamepanuka namna hii! Mpk Transgender!

Wazo langu hata wanaoishi bila kuoana wangewekwa kwenye kundi hilo maana zote ni dhambi zinazomchukiza Muumba wetu.
 
A.J

Senior Member
Jun 9, 2015
138
250
Mkuu,kuna kitu wanaita LGBT au GLBT,ambayo ni Lesbians,Gays,Bisexual, and Transgender.
Hii maana yake ni Wasa..ji(Lessie),Waf..jwi na Wafi..ji(Gays),Wale wanaofanya na kufany..wa(Bisexual) na Waliobadili jinsi(Transgender).
Zote ni dhambi kubwa sana kwa Mwenyezi Mungu no matter w
hat.
Bisexual ni yule anaetaman watu wa jinsia yake na jinsia tofaut na yeye, iwe mwanaume au mwanamke. Nmerekebisha kdg
 
OSOKONI

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
10,971
2,000
Yataje hayo mashirika, bandiko refu kama hili siku nyingine hakikisha unataja hizo NGO na kiasi cha pesa wanachopewa
sio siku nyingine kwa kuwa uzi bado upo aje hapa ayataje au moods ondoa hiii kitu haraka jf ni jukwaa linaloenda na data
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom