tahadhari kwa yanga

fimboyaasali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
8,408
7,961
habari zinazokuja kila wakati ni kwamba yanga inasajili wa kufa mtu,nawatahadharisha kuwa kusajili wachezaji wazuri,sio gerentii kuwa watacheza vizuri,wawe makini na wajifunze historia ya real madrid
 
sawa muzeee..............
 
Usajili siku zote ni gambling!!
Unaweza sajili mchezaji mzuri na akaja kuchemka.
 
baada ya kusikia wana mpango wa kumsajili mavugo nime dharau kabisaa naona tunarudi kule kule tulipotoka, ni bora ange baki tambwe aliye kwenye list ya kuachwa!
 
Ile Habari ya dangote kutaka kuinunua Yanga iliishia wapi
 
Yanga fanyeni usajili makini! Mashabiki tungependa kuiona Yanga imara msimu ujao, ikiwa na kikosi kipana chenye wachezaji wenye vipaji vya hali ya juu, wenye kujiamini, wenye uwezo wa kupambana mwanzo mwisho kama yule Kagere wa Simba, waliokamilika kuanzia stamina, kasi, ufundi; wanaojitambua na wenye malengo, nk! Achaneni na usajili wa kimazoea.
 
habari zinazokuja kila wakati ni kwamba yanga inasajili wa kufa mtu,nawatahadharisha kuwa kusajili wachezaji wazuri,sio gerentii kuwa watacheza vizuri,wawe makini na wajifunze historia ya real madrid
Kwa taarifa yako anabaki Yondani,Fei Toto,Tshishimbi,Paul Godfrey na Gadiel Michael tu, wengine wote wapya.

Usitupangie chakufanya
 
habari zinazokuja kila wakati ni kwamba yanga inasajili wa kufa mtu,nawatahadharisha kuwa kusajili wachezaji wazuri,sio gerentii kuwa watacheza vizuri,wawe makini na wajifunze historia ya real madrid

Kuweni makini na taarifa za usajili.......Binafsi sijamsikia kiongozi wa Yanga akitamba kuhusu suala la usajili...wanaofanya hivyo ni waandishi wa habari wa magazeti pamoja na mitandao...kumbuka habari za Yanga huvutia kuliko zile za Simba...huu ni wakati wa kuuza magazeti........Magazeti yanaitumia yanga kuwapata wateja/wasomaji...........
 
Mkuu usemacho ni kweli kabisa. Juzi kati nilikutana na mwandishi mmoja wa gazeti la michezo kanambia kuwa sbb ligi imeisha na hawana habari za kuleta kwa wananchi sasa wanehamia kuzusha habari za usajili hasa za Yanga ili kuuza magazeti. Wapuuzwe hao. Naamini uongozi wa Yanga uko makini kufanya usajili kwa ajili ya msimu ujao na sio habari za magazeti ya Fake News.

Back
Top Bottom