Tahadhari kwa wenye tabia ya Mchepuko!

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
6,324
Reaction score
2,494
Kijana mmoja mwenye umri wa miaka 29 amelazwa katika hospitali ya Mount Meru Arusha baada ya kutembea na mke wa mganga wa kienyeji. Kijana huyo amelazwa baada ya "jembe" lake kusimama kama nondo na kumsababishia maumivu makali na kuwataka madaktari wampe dawa ya kulilaza, na kama hakuna dawa, walikate.
Hii hatari!!

===Updates===
Hali ya mgonjwa bado c nzuri, ndugu walienda kwa mganga, mganga akasema akiondoa maumivu yataondoka na dudu kabisa na mtu asimwulize!
 
Hahahahahahahahah nondo nasi inaafazali yakunjika, naona itakua imesimia kaa Mt.Kilimanjaro hahahahaha!!
 
Hahhaha....akamuamkie mganga sasa ndo litashuka
 
picha jamani hahahaha du yaan naimagine huko hospitali alivyo
 
Kachepuka vibaya, unachepukiaje mali ya Sangoma.
 

Hahahahaa……nae kazidi hakujua kama ni mke wa mganga,acha wamkomeshe.
 
Mshaurini avae dera!

modo si nguo zake tena kwa kipindi hiki cha msiba.
 
Watu wanalilia nguvu ye anazikataa?? Dawa yake apange wanawake kama watano hivi awape kichapo cha mbwa mwizi ajijengee jina mtaani!!
 
Ka story kanahamasisha kuona picha
nawaza anapitishwa kwenye kile kitanda cha matairi kafunikwa shuka
afu kitu .........>

sipati picha wakikupa umuuguze, wanaeza kuta ushajipiga bao tani za kuanzia... kitu self service
 
Wiki mbaya hii kwa wachepukaji,mwingine mwanza kawekwa shoka la uso.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…