Tahadhari kwa wazazi wa watoto wa Panya Road, nina bastola

Hivi kama vijana wadogo tu wanaweza kuleta tafrani ndani ya nchi,vipi yakiingia magaidi si tutaaibika sisi..😀

Vitu vyengine ni dharau hizi na hili linaonyesha kuna myumbo mpana Sana ktk ngazi ya ulinzi,Kama mtu unafikiri watu unaweza kuwaongoza kwa demokrasia pekee jua unapotea! Tena unapotea sana!.. dictatorship na democracy lazima ziwe applied zote!, mazingira ya matumizi yake ndio yatakuwa yanatofauti kutokana na njia ipi itakuwa bora kutumika ktk mazingira husika huo ndio ukweli mchungu!.. nje na hapo labda Kama wewe ni mgeni wa watu!😀
 
Hivi kama vijana wadogo tu wanaweza kuleta tafrani ndani ya nchi,vipi yakiingia magaidi si tutaaibika sisi..

Vitu vyengine ni dharau hizi na hili linaonyesha kuna myumbo mpana Sana ktk ngazi ya ulinzi,Kama mtu unafikiri watu unaweza kuwaongoza kwa demokrasia pekee jua unapotea! Tena unapotea sana!.. dictatorship na democracy lazima ziwe applied zote!, mazingira ya matumizi yake ndio yatakuwa yanatofauti kutokana na njia ipi itakuwa bora kutumika ktk mazingira husika huo ndio ukweli mchungu!.. nje na hapo labda Kama wewe ni mgeni wa watu!

Cha ajabu.. wanaingia kati kati ya jiji kabsa “ dharau
 
Wahivi watakuta amelala na bisu la kichwa!

Mkuu.. nipo home mzee nimeshaikoki bastola yangu yaani ntafungwa maana serikali yetu hata kwa kujitetea unaweza ukafungwa..
 
Man mm nakwambia usipige risasi ya kichwa piga ya Paja km watano hivi wakija kuvamia nyumbani alafu sasa wavute ndani ya nyumba Koleza moto wa makaa than chukua vijinga vya moto weka kwenye hayo majeraha mbwa hawa watoto haiwezekani watushuulishe sisi watu wazima bana
 
Mkuu.. nipo home mzee nimeshaikoki bastola yangu yaani ntafungwa maana serikali yetu hata kwa kujitetea unaweza ukafungwa..
Bastola utamwahisha ukipata chance mchezeshe kipigo haswa halafu mtie bisu la koromeo mmwage huko waone na hao panya wenzake!
 
Back
Top Bottom