hips.com
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 344
- 91
Kuna tabia ambayo nimeiona na ipo kwa wanawake wengi hususani wenye watoto
1.utakuta mwanamke/mama anamlisha mtoto chakula akichota na kijiko Lazma kipite mdomoni kwake ndo ampe mtoto. sasa ukiangalia na utandawazi uliopo Wa kulambana koni na michepuko juu basi ni hatari tupu kwani uwezekano wa kumwambukiza mtoto magonjwa ni mkubwa sana mfano fangasi
2.unatoka kwenye mihangaiko yako unafika nyumbani(kwa wanaonyonyesha) kisa mtoto analia unamchukua na kumnyonyesha bila kujifuta maziwa ama kuoga .hii nayo ni hatarii.
3.kwa wanao tumia maziwa ya kopo au kutayarisha mlo wa mtoto asubuhi sana. utakuta mwanamama anajua fika kwamba walikula pilau usiku lakini cha ajabu akiamka kama ni ishu za kumtegenezea mtoto maziwa ya kopo.juisi au uji hanawi mikono kabla ya kuandaa wakati hakumbuki walishikana shikana na Mr usiku na uchafu ni mwingi tu
3.kunyonyana koni. ( Tafakari uamuzi unao mwenyewe)siku hizi fashion na styles ni kunyonyana sasa kunauwezekano Wa kupata kensa ya koo kwani kuna vijiduu vipo mfu sehemu za siri ila vikihamia au vikiwa mdomoni vinakuwa active and virse versa.
4.tumezoea kuwanunulia watoto tamtam mfano pipi lol pop alafu anakula then kwa upendo wa mtoto anakwambia mama au baba kula nawe bila woga unaimumunya then unampa tena hii si sahii
5.wenye tabia ya kuwachum watoto midomoni. ikumbukwe kwamba tunaishi kwenye dunia iliyochanganyikiwa kwa kizazi cha kisasa.sasa kumbusu mtoto mdomoni ni hatari mzoeshe kumbusu mikono paji la uso au mashavu ili akikutana na wapita njia ambao ni ndg/marafiki wakimwambia nibusu atambusu kama ulivyo mzoesha ila kwa ishu za midomoni noooo kwani fangas zinaelea mpaka kwenye lips
Mwenye cha kuongeza karibu ila nimetoa kama ushauri tu. nawasilisha