Mkuu huielewi mistari ya biblia hyo?hata hueleweki mtoa mada
Usimpe mwanamke ukuu wako.Mkuu huielewi mistari ya biblia hyo?
weka vifungu labda ntaelewaMkuu huielewi mistari ya biblia hyo?
Hebu nitafsirie hiloUsimpe mwanamke ukuu wako.
Hili wengi wamefeli sana basi taabu tupu baada ya kubugii
Hii ni baada ya kumuachia mwanamke wako majukumu yako kama baba baada ya kumuamini kupita kiasi basi inafikia hatua basi wewe unakosa tena Uhuru wa maamuzi tena na tayari ni mkeo ndo basi unaanza kugadhifika vile ambavyo atafanya tofauti na wewe na kukunyima Uhuru wako wa maishaHebu nitafsirie hilo
Nipo hapa Jilanhaya ngoja wanaume wakuje
Hii ni noma aisee, sema sometime ufukara ndio unawanyonga raiaHii ni baada ya kumuachia mwanamke wako majukumu yako kama baba baada ya kumuamini kupita kiasi basi inafikia hatua basi wewe unakosa tena Uhuru wa maamuzi tena na tayari ni mkeo ndo basi unaanza kugadhifika vile ambavyo atafanya tofauti na wewe na kukunyima Uhuru wako wa maisha
No6 na 9 wengi wemeangukia hapo1Usimwonee wivu mke umpendaye;
utakuwa umemfundisha namna ya kukudhuru.
2Usimwachie mwanamke ukuu wako,
la sivyo atakutawala kabisa.
3Usifuatane na mwanamke wa tabia mbaya,9:3 Kiebrania: Mke … mwingine: Kigiriki: Mwanamke mwenye tabia mbaya.
la sivyo utanaswa katika mitego yake.
4Usishirikiane na mwanamke mwanamuziki,
la sivyo, utanaswa kwa werevu wake
5Usimtazame kijana msichana mzuri;
la sivyo, wewe na yeye mtapata adhabu ileile.
6Usimpe malaya moyo wako,
la sivyo utapoteza nchi yako yote.
7Usipepesepepese macho mitaani mjini,
wala kuzururazurura kwenye maeneo yake ya pekee.
8Usimtazame mwanamke mzuri,
usimkodolee macho mwanamke mrembo asiye wako.
Maana wengi wameangushwa kwa uzuri wa mwanamke,
maana jambo hilo hufanya tamaa kuwaka kama moto.
9Kamwe usiketi na mke wa mtu,
wala kuketi naye kunywa pombe;
la sivyo moyo wako utampenda
nawe utakosa kujizuia ukaangamia.