meliksedeki
Member
- Jul 9, 2016
- 5
- 3
Wanaotarajia ku apply SAUT Mwanza kuweni makini. Kama ni mtoto wa fukara kama mimi usijaribu kuomba SAUT main campus, wapo kimaslai zaidi na hawajali hali ya mtu.
Kwa mfano; Kuna huu mchezo wa kupiga penati, yani ukichelewa kulipa ada wanakupiga penati ya laki moja. Mimi katika kulipia ada sikuwahi kuona kama kuna mia 320 imesalia,wakaniwekea deni la 320 na penati ya laki moja.
Pia hali ya mazingira ya chuo si salama sana hasa kwa wale wanaokaa nje ya campus na pia hostel za ndani ni chache sana. Maji, umeme ni shida kubwa hapa, inshort come on ur own risk...