Nimeisikiliza michango mingi ya wabunge Wa binge la Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania kuhusu waliohusika kusaini mikataba iliyopelekea/inayopelekea Tanzania kuwa shamba la bibi, kuwa watajwe, washughulikiwe na ikiwezekana wanyongwe kwa kuwa wamelitia hasara Taifa kwa muda mrefu.
Lakini naomba niwakumbushe kuwa katika hili tukichimba kwa undani Mjuwe Ikwete na Mkapa hawatapona.
Sasa najiuliza itakuwaje juu ya ile sheria inayosema Rais akimaliza muda wake hatoshitakiwa?
Lakini naomba niwakumbushe kuwa katika hili tukichimba kwa undani Mjuwe Ikwete na Mkapa hawatapona.
Sasa najiuliza itakuwaje juu ya ile sheria inayosema Rais akimaliza muda wake hatoshitakiwa?