HATIMAE UDOM WAMESIKIA KILIO CHETU NA KAMA WALICONFIRM BILA YA RIDHAA YA MLENGWA,UKIINGIA TU KWENYE AKAUNTI YAKO YA UDOM WANAKUTAKA UCONFIRM UPYA,SASA NI FULL SHANGWE TU

Hamna udom wameshaacha kuconfirm bila ridhaa ya mwanafunzi kama walivokua wanafanya awali,sasa ivi akaunti yangu inasoma kama mwanzoni tu kabla hawajaconfirm wao!

Wotw udom na udsm walikua wanafanya hivyo itakua wamepata maagizo we ulitumia code kufanya confirmation maan hapo haikutumika code kwa udsm wote walianzza hivyo

daaah hata mie yamenikuta ayo mm nimeconfirm saut cha mwanza na kuta na udom confirmed nacho tyr nimechanganyikiw hapa ukipiga simu tcu hawapokei ukiwa email hawajib ss nimeamua nituliezangu tu hap maan msaada nimekosa