Mkuu imenishangaza nimeangalia account za vijana wawili ambao hawakufanya confirmation udom zinasoma hivyoGreat. Huu ni ujanja wa kujipatia wanafunzi wengi lakini unakosa uungwana na kuleta confusion. TCU ilisimamie hili na ku-deal na UDOM accordingly.
kuna mtu nimemsaidia inagoma mkuu, inaniambia niingize code nikiweka inagomaa....udom hawajatenda haki.Wakuu nimependa kushare nanyi hili jambo kuhusu chuo kikuu cha Dodoma....
Kwa walio multiple udom naona ni dhahiri wamekuwa confirmed automatically hata kama uliconfirm chuo kingine wao wameshaconfirm tayari huko kwenye account zenu....
Lkn wameongeza kitu kinaitwa unconfirm kwenye dash boards....
My take hapa ukikuta MTU alishaconfirm chuo kingine tofauti na udom maana yake jina lake lipo vyuo viwili,(udom,na hicho kingine)....huu ndiyo mwanzo Wa MTU kukosa mkopo maana BODI watashindwa kuelewa MTU Huyo chuo kipi...
Hivyo basi wakuu kwa wale ambao hawahitaji kujiunga na udom ingieni mfanye unconfirmation ili kuepuka hii SHIDA ya kukosa mkopo View attachment 859402View attachment 859403
Mkuu,naomba tafadhali utume screenshot ya akaunti yako ya udom baada ya kuunconfirm,nataka nione ujumbe gani wanauweka hapo,natanguliza shukurani zangu za dhatijarbun tu Mara nyingi mtafanikiwa wakuu
Itabaki kama ilvokua mwanzo ikihitaj kujiconfirm upyaMkuu,naomba tafadhali utume screenshot ya akaunti yako ya udom baada ya kuunconfirm,nataka nione ujumbe gani wanauweka hapo,natanguliza shukurani zangu za dhati
Huenda ila mm udsm cjaona mkuuSwala hili msiwasingizie UDOM Hata udsm wanafanya hivyo wnakupa option ya ku confirm na ku unconfirm by default inakua already confirmed kwa wenye multiple selection tena hata iyo code haina haja ya kutumia , hivyo sio kosa la udom hata udsm wanafanya hivyo pia
Ndivyo ilivyo labda kama wawe wamebadili lakini ndivyo ilivyokuaHuenda ila mm udsm cjaona mkuu