Tahadhari kwa UKAWA

Tahadhari kwa UKAWA

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,521
Reaction score
96,267
Kuna habari kuwa kuna peni maalum zimeingizwa kwa ajili ya kufunga goli la mkono,tukienda kupiga kura twende na peni zetu kwani kuna hatari vituoni kukawa na peni za goli la mkono,ukiandikia na baada ya dakika tano maneno yanafutika na kura kuharibika.hasa kwenye sehemu zenye ushawishi mkubwa wa upinzani.angalia picha hii chini
 
Nadhani hii issue inahitaji kufuatiliwa ili isilete hofu. Lakini siamini kwamba kama kuna pen maalum, utaruhusiwa kutumia yako.
 
Kuna habari kuwa kuna peni maalum zimeingizwa kwa ajili ya kufunga goli la mkono,tukienda kupiga kura twende na peni zetu kwani kuna hatari vituoni kukawa na peni za goli la mkono,ukiandikia na baada ya dakika tano maneno yanafutika na kura kuharibika.hasa kwenye sehemu zenye ushawishi mkubwa wa upinzani.angalia picha hii chini

we kiazi kweli unadhani ujinga kama huu ni rahisi kama unavyodhani.
 
Unavyo fanya argument toa na suluhisho siyo unafooka tu kama kobra,tujadili
 
Tupe sababu ya kutotumika mkuu wacha panic

We Mmawia Nilikwambia Uwe Unasumbua Ubongo Wako Huo,acha Kua Bogus Wa Kuchukua Kila Unachoambiwa..Sasa Kama Maandishi Yanafutika Inamaana Kura Zote Zitakuwa Hazina Alama Kwahyo Matokeo Yatakua Nill Hakutakua Na Mshindi...?Nawewe Kabisa Unaona Hilo Linawezekana,we Jamaa Ni Mpumbavu
 
Asante mkuu kwa kunibatiza kwa maana naelewa nini lengo na makusudu yako,hewala mkuu
 
Kuna habari kuwa kuna peni maalum zimeingizwa kwa ajili ya kufunga goli la mkono,tukienda kupiga kura twende na peni zetu kwani kuna hatari vituoni kukawa na peni za goli la mkono,ukiandikia na baada ya dakika tano maneno yanafutika na kura kuharibika.hasa kwenye sehemu zenye ushawishi mkubwa wa upinzani.angalia picha hii chini
Dakika Tano nyingi sana mkuu
 
Yaani nyie wasanii mna shida sana ..bado mna ---- za kuibiwa wakati kila dariri inaonesha Magufuri ana traits kibao za kuscore 90% ..acheni wendawazimu na urofa wenu wa maigizo, Ikulu hayaendi makapi ever
 
Jiandae kisaikolojia maana lowasa ndio rais wako ajae
 
Back
Top Bottom