Tahadhari kwa Timu ya CHADEMA?

Kama huna cha kupost kaa kimya,usituletee PUMBA hapa...g..ash..o we!
 
Ila kinga ni bora kuliko tiba. Wabebe maji yao, vitambaa vyao, simu wawe nazo makini, wavae mask nk. kazi kweli kweli IKULU haiaminiki hawaoni shida kumwakyembe mtu yeyote wanaehisi atakuwa hatari kwao 2015.

Dizaini hii inatosha?

 
ADUI mkubwa wa CCM ni CCM yenyewe ndiyo maana wamekua wakiuana wenyewe kwa wenyewe...viongozi wengi wakubwa wa CCM waliopo madarakani au wastaafu siku hizi wakienda kwenye hafla za kirafiki na kifamilia wanabeba vinywaji na chakula chao wenyewe....CHADEMA siyo tishio hadi kufanyiwa ujasusi wa mauaji
 
Hili nalo neno, maswala ya polonium si mchezo. Hii nafasi si hadimu kama PIPIJOJO alivyo sema Jk ni kichaka tu ukisema wakati wowote umwone unamwona nothing special, anakutana na hata machangudoa then can not be special in that way.

kuongea ni haki yako mdogo wangu na matumizi mabaya ya ulimi wako...hao wachaga unaowashabikia ndio wameomba kuonana na rais wao na yy rais amekubali na wao kama wana mawazo mufilisi ya kuwekewa sumu wasiende...
 


Mkuu nakupongeza kwakukumbusha hayo nyongeza vinywaji wasiguse jana nilipenda mb mbozi simba wa yuda alikataa kahawa situdio za str tv dsm
 

Naona Jinsi mapovu yanavyo kutoka .....kisu kimefika kwenye mfupa!!!! hahahahaha
 
kwani wanalazimishwa kula kama wana wasiwasi na chakula cha JK wanaweza kusema hapana na hawatalazimishwa ni uppuzi tu kufikiri Rais anaweza kutumia meza inayotumika kutafuta amani ya taifa letu kuwapa sumu chadema

Kwenye siasa hakuna kinachoshindikana. Kama ndani ya vikao vya chama chao tu hawaachiani glasi za maji, sembuse kikao na wapinzani? Acha utani ndugu, linapokuja suala la maslahi. Tema mate chini.
 
C lzm akutane nao ikulu anaweza hta kuwaambia mktane kinondon makao makuu yenu cdm tuone mtamuekea na nyinyi sumu
 
bora kufa kuliko kuishi kwa kuonewa by mh lema..
 


Haaaa, we mtoto!!!!! unaongea kwa kutumia mdomo au kwa nyuma?
 
Huu ndo ukenge wenyewe....unataka wakasirike, wakunje sura wawe kama wamebanwa na haja kubwa?
Sasa subiria uwaone wanavyokenua meno kwa kufurahi kushikana mkono na rais.....ni kama naliona tabasamu la tundu lisu ambalo litakuwa mara dufu ya tabasamu zitakazotolewa n a wenzake!
 
Chadema wanaogopa vivuli vyao ndio maana wanakuwa na wasiwasi wa kila kitu.

Poleni
 
Tahadhari sana juu ya mionzi yenye sumu hasa kuanzia mnapoingia gate-in na kabla ya kuingia kwenye conference rum!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…