Nibozali
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 572
- 1,055
Kwanza nianze na magazeti.
Mpaka sasa kuna habari mbili ambazo mtakuwa mnajiuliza ni IPI muipe kipaumbele yaani ikae kurasa za mbele. Ya kwanza ni mkutano Wa Nappe Nauuye na ya pili ni kuhusu Roma na wenzake. Kuna kila dalili hii ya pili ilifanywa kimkakati ili kuufanya mkutano Wa Nappe usipewe kipaumbele badala yake hii inshu ya akina Roma ipewe kipaumbele na hatimaye kuzima kile kitakachozungumzwa na nappe
Kuna kila dalili kuwa vyombo vingi vya habari vingi vitaingia katika huu mtego wakati watu wanacheza nao kiufundi na lengo LA watu litakuwa limetimia.
Yangu ni hayo
Acha niendelee kupata juisi ya hapa Lumumba, tamu kwelikweli