Tahadhari kwa dr slaa na mbowe

Kwa wakati huu chadema kuweni makini na chadema malipyoto kama kina shibuda, wako tayari kumfurahisha yeyote kama kuna mgawo au posho!
 

Umemaliza? Haya nenda kwa Dj ukachukue viroba unywe ungoje maandamano, Pumbazzzzzzzzz!
 

VERY BIG TRUE.......Hiki kikundi ni hatari sana, ndio waliomshinikiza Lema akamtandika mtu na tofali mbele ya viongozi wa chama....hawakutosheka wakampa yeriko marisiti ya kugushi abandike jf...kama haitoshi wakamtuma Benedict saa tisa na wenzake wakabandika eti waliouita waraka wa siri.....mpaka wamepelekea viongozi wetu wakuu kuchanganyikiwa.

Kwa kumalizia......hii MAKOA ipo upande gani pale moshi....kwa sababu sio wote wakazi wa huko, so umetuacha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…