Tahadhari kurasa bandia ya gmail.com | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tahadhari kurasa bandia ya gmail.com

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Yona F. Maro, Oct 6, 2010.

 1. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #1
  Oct 6, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Google Team <MessageID671001899JJB@secure.com> reply-t<img class="yiv1066723885" id="yiv1066723885upi" name="upi" height="16px" width="16px">MessageID671001899JJB@secure.com
  Dear Email Client,
  We detected an unsuccessful login attempt from an unfamiliar location. For the security of your account, kindly Re-Login Below
  www.gmail.com -
  Ukiclick Hiyo www.gmail.com inakupeleka Gmail: Email from Google Ambayo ni kurasa bandia ya gmail.com unaweza kuibiwa taarifa zako ukiingiza taarifa zako hapo uwe makini mtumie na mwenzako .
  The Google Team


  ANGALIA USICLICK KUFUNGUA WWW.GMAIL.COM UKIPATA UJUMBE KAMA HUU KWA SABABU UTAKUPELEKA KWENYE KURASA BANDIA YA GMAIL NA UTAIBIWA TAARIFA ZAKO ENDAPO UTAJARIBU KUINGIZA TAARIFA ZAKO
   
 2. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2010
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  SHY, ahsante kwa taarifa yako.... nilikumbana na huu mkasa jana, bahata nzuri ni kuwa nilikuwa nimeweka namba yangu ya simu kwenye A/C yangu ya gmail, walivyo jaribu kubadilisha password nikapata msg kwenye simu na hapo nikafanya mpago waharaka kubadilisha pswd yangu,na gmail walinipigia simu kunipa code ya ku-reset password....Gmail wanautaratibu mzuri sana kuliko mitandao mingine ya huduma hii.


  l
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  yaani watu wanatakiwa kuwa makini .

  kuna website niliona mdau mmoja kaitoa kwenye subforum ya kazi . ( https://www.jamiiforums.com/nafasi-za-kazi-na-tenda-job-vacancies-tenders/72509-career-opportunities-in-the-banking-sector.html ) Benki ya kimataifa. But nadhani kuna website za aina hii nyingi tu wajanja wanatumia kukusanya data za watu.

  • Ukiangalia website home page hakuna sehemu ya contact information ya Simu, hakuna Physical adress ilipo ofisi.
  • kuna sehemu wanasema "Send CV and Cover letter to: advansbanktanzania@gmail.com" hii sio issue lakini inatia shaka benki inayjiita ya kimataifa kweli itumie email account ya gmail au yahoo. Sasa ukituma CV ............
   
 4. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2010
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Kabla hujaingiza maelezo yako binafsi mfano maelezo kutoka katika kadi ya benk au akaunti au neno la siri; hakikisha kuwa website uliyopo inaanza na HTTPS:// na sio HTTP://

  Mfano wa websites hizo ni:

  https://www.paypal.com/tz

  Welcome - PayPal


  Tofauti kati ya HTTP:// na HTTPS:// ilielezwa kwa urefu wiki iliyopita, angalia posts zilizopita katika forum ya science and technology hapa JF.

  :welcome:
   
Loading...