Tahadhari kuhusu tapeli Peter Myaka na wenzie

Teresia Mahimbi

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
271
91
WANAJAMII FORUM mnaotafuta kazi mjihadhari na hili tapeli linaitwa Peter Myaka, na wenzie watatu,mmoja anajifanya Daktra wana project kuhusu mambo ya community na mwingine anajifanya mzungu..

Atakudanganya kwamba mshahara dola elfu nne na marupurupu kibao so be aware..Watakapopata namba yako hutajua ,utastukia wanakupigia. Ni matapeli walitaka kumtapeli mtu ninaemjua alovyoniambia tu kwamba wamemchomekea sijui wanataka kununua dawa ya kuhifadhi vyakula atume down paymeny kwa m pesa blah blah,nkamwambia hao matapeli..watakuanza na gia ya kazi.

Wanatumia namba zifuatazo hebu zitazameni zimeandikwa/kusajiliwa kwa majina gani
1. 0786153444- hii anatumia huyo anayeejifanya mzungu from European Union ,
2.0718234061- anajiita Dr Eliakim
3. 0782085851- anjiita Dr Eliakim
4. 0782 085073 anaitwa Peter Myaka ,anajifanya Sales Manager wa Azam huko wanakodai wanakoouza hizo dawa,huyu ndo atakutumia namba ya tigo pesa ya kutuma...
 
ukiwa na tamaa utatapeliwa tu,hakuna deal ya pesa inayokuja kama ndoto hasa kutoka kwa mtu usiemjua.ahsante kwa taarifa
 
Juzi tu hapa nilikutana na,utapeli kama huu, lakini niliwashtukia mapema cos kuna jamaa yangu alitaka kutapeliwa kwa namna kama hii. Pia huwa wanakutaja mpaka jina lako kuhakikisha kuwa wanakujua! Tapeli tu hawa tuwe makini jamani
 
Ishu hapo sio namba!!! Take a note ..hakuna dili linalotoka tu kwa mtu asiyekujua tena la pesa nyingi kingine ni ukiona unapigiwa simu wanaanza mara mzungu, mara ohooo tupa pesa kwanza achana na hao watu usijisumbue kabisa coz wanabadili namba kila baada ya nusu saa hao wamesajili laini mia kidogo
 
pole sana mkulu wangu umenikumbusha jana mtu kanipigia ananiambia alikuwa anakaa kimara akantajia mpaka na vitega uchumi vyangu ati alikuwa ananunua sana hapo kwangu kahamishiwa morogoro ati kuna mradi wa kilimo na yeye msimamzi wa madawa so anataka nimsaidie ...baadae akanigusua dili za matrekta ya suma.....loh nikakata simu sikutaka ata kusikiliza

nani anataka kuwatapeli jeshi maisha haya ya leo
 
Mimi nafikiri pia kama wana mapepo. maana walinipigia mara ya kwanza baada ya harusi ya ndugu yangu na kujitambulisha kuwa tulikutana kwenye harusi hiyo. Mara ya pili pia baada ya harusi ya ndugu yangu pia ikiwa kama baada ya miaka miwili pia akaja na gia hiyo na kuwa anataka kunitapeli na dawa na kutibu maji ya visima.
 
Back
Top Bottom