Hakuna mtu anakuwaga busy, its all about priorities. Mi nahisi hiyo ni njia ya kukuacha kimya kimya
kisichokuwepo machoni na moyoni hakipo!
Dah!ukwel mtupu@yenyewe
kuwa na demu mjini ni lawama....hasa kama huna hela na gari...!!!
Mbona kawaida maanake mapenzi yanakua, love is dynamic not static, hata wewe mwenyewe unaweza kuta umebadilisha swaga hujijui jichunguze. Kaa naye umsikia anasemaje kwenye uchumba tu unashindwa kuzungumza kwenye ndoa utaweza, huo mtihani mdogo sana. Unaweza kuta yeye ana mengi ya kukulaumu kuliko wewe au chanzo ya yeye kuwa na ratiba ngumu ukawa wewe Nimeshakuona utaweza kugraduate mitihani ya ndoa kweli? Ndoa ni Shule pekee ambayo unapewa cheti mapema halafu mitihani.
Unashindwa nini kufanya uchunguzi?
Umenifungua macho aisee?so nami nichukue changu?
mchaga keshachukua chake alikuachia kwa mda,,,usilie rafk ang
Achana nae mkuu songa mbele
mtumie na zile picha kabisa aamini ili mwisho siku presha isije kumpanda bure!!Mimi ndio niko nae mkuu.nampiga pipe la maana alafu nina kazi,anadai wewe huna hata pesa ya sabuni kazi yako ni kumchafua tu.
Umbali si unajua fimbo ya mbali haiuwi nyoka!
kumbuka rafiki fimbo ya mbali haiui nyoka,jaribu kumchunia na wewe kama mwezi hivi bila kumchunia uone kama atakutafuta,asipokutafuta mzukie ghafla bila taarifa mumbe kalale kwake kama wiki hivi utapata jibu.
Basi achana nae
mtumie na zile picha kabisa aamini ili mwisho siku presha isije kumpanda bure!!
Samahani esk kidumu, niliondoka nayo kwenda kuuzia sura town. Narudi kukutafsiria
Kuwa mwangalifu na ushauri unaotolewa hapa jamvi, kama kweli unampenda nenda naye taratibu hakuna binadamu aliyekamilika, nimeona kuna watu wanashauri umwache sikatai ila siyo katika hatua za mwazno kabisa ambapo huna ushahidi usio acha shaka.Nitajaribu ushaur wako!