Tahadhari kabla ya hatari

Alisha achana name wewe Hugo pole mwanangu
 
hauwez kuelewa hapo bro!

Uwe mwelewa namna unavyoandika inamwia vigumu yeye kuelewa.Hivi umemaliza chuo kikuu nilitegemea hata namna ya uwasilishaji mada yako iwe tofauti na mdogo wako wa form four.
Fuata taratibu za uandishi,usifupishe maandishi pasipo na ulazima, TAMANI KUBADILIKA.
 
Mtembelee na ukae naye ujiridhishe mwenyewe kabla ya kuchukua maamuzi yatakayokuumiza pia.

usiamini katika 'interests', jali uliye naye hadi utakapothibitisha kuwa haiwezekani kabisa kuelewana.

Kuwa jasiri kwa 'vijaribu' kwani ulekeako kuna 'majaribu' makubwa zaidi ya hayo... show her that you're the phenomenal man she can regret to drop!
 

Asante nitazingatia!
 

Asante sana kwa ushauri wako wenye kujaa busara na tija ubarikiwe!
 

Huyo ni mjamzito tayar jina lake silinaanza na z na benk anayofanya inaanzia na b na hauyupo moshi yupo z
 
Shida swaga zimebadilika nahc kuna kitu kinaendelea!
Mbona kawaida maanake mapenzi yanakua, love is dynamic not static, hata wewe mwenyewe unaweza kuta umebadilisha swaga hujijui jichunguze. Kaa naye umsikia anasemaje kwenye uchumba tu unashindwa kuzungumza kwenye ndoa utaweza, huo mtihani mdogo sana. Unaweza kuta yeye ana mengi ya kukulaumu kuliko wewe au chanzo ya yeye kuwa na ratiba ngumu ukawa wewe Nimeshakuona utaweza kugraduate mitihani ya ndoa kweli? Ndoa ni Shule pekee ambayo unapewa cheti mapema halafu mitihani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…