Tahadhari kabla ya hatari kwa mashabiki wa yanga

DK Mweluvu

Member
Mar 3, 2020
84
124
Mdau,

Napenda kutoa tahadhari kwa mashabiki wa yanga kwa msimu huu wa 2023/2024 utakuwa msimu mgumu sana sana kwa timu hii yenye makazi yake Avic town

Balaa litaanzia Jun 22 ambapo sherehe itaharibika kwa yanga kupokea kipigo kitakatifu kutoka kwa Kaizer chiefs ya bondeni kwa madiba

Sekeseke litaendelea August ambapo hawatofanikiwa kuchukua Ngao ya jamii na hivyo mashabiki watajipa natumaini ya kuchukua kombe kwa nara ya 3 mfululizo.lakini mambo hayatokuwa hivyo kwani ..

Msimu 2023)2024 utakua na ushindani sana kwa mahasimu wa ligi hii na mwisho klabu ya Young African sc haitobeba kombe lolote msimu 2023/2024

Kama haitoshi yatakua maajabu kwa klabu iliofanikiwa kufika fainali.bahati mbaya klabu hii haitafuzu hata makundi msimu huu kwenye ligi ya mabingwa.bahati mbaya zaidi CAF walifuta sheria za mbeleko na favor

Ni mimi Mcha-Mbuzi
Nawasilisha
 
🚮
 
Kweli wewe ni MCHA MBUZIII YAANI NI MBUZI KIKWETU
 
Acha wenge na wanga.
 
Bangi za kuvutia chumbani kwa baba yako laana yake ndiyo hii!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom