hahahah mimi mwenyewe nilimbana mbavu nikamwambia nina kondakta wangu, pia wenye mabasi nawafahamu yeye afike stand kila kitu kitakua sawa.... akaniambia nitume 10,000 kwa ajili ya usafiri wa pikipiki kwa huyo dada anakaa mbali na stand na begi la kubebea nguo nikajua heheheh anataka kuniingiza town mtoto wa town... nilimtwanga maneno makali akakimbia jumla maaanina zake..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.