Tahadhari:asrf

Tahadhari:asrf

iGodmanhustler

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
609
Reaction score
343
DAH JANA MIDA YA SA3 USIKU NIMEPOKEA EMAIL KUTOKA KWA HAO JAMAA WANAJIITA "AFRICA SELF RELIANCE FOUNDATION" KAZI NILIOMBA WEEK MOJA ILIYOPITA KWAO.NI MATAPELI WAMENITUMIA NA MAJINA TULIOCHAGULIA KWENDA KWENYE TRAINING EMAIL INA ATTACHMENT 2 MOJA YA RATIBA YA TRAINING, PILI YA REGISTRATION NILIWAAMINI MWANZONI ETI KWENYE TRAINING CHAKULA NI JUU YAO PAMOJA NA USAFIRI WATAKUREFUND ALAF PERDAY WATATOA 60,000TZSH EACH.HAWA JAMAA WAKO PROFESSIONAL IYO EMAIL YAO IPO CLEAR AS IF ITS REAL.NILISHTUKIA WEZI PALE WALIPOANDIKA ETI ILI UKAMILISHE REGISTRATION UNATAKIWA UTUME 10,000TZSH KWENYE NAMBA 0754239167 M-PESA.ALAF NAMBA YA MPESA UIANDIKE WAKATI WAKUJAZA IYO FORM ALF SIKU YA TRAINING WATAKURUDISHIA WANAFANYA IVO ILI KUJUA IDADI KAMILI YA WATAKAO HUDHULIA.KWENYE FORM WAMEANDIKA RATIBA YA TRAINING PAMOJA NA TRAINING COURSES ZOTE WAKO VIZURI INSHORT TRAINING ETI ITAFANYIKA Blue Pearl Hotel.BE CAREFUL GUYS MSIWATUMIE KITU. YOU HAVE BEEN WARNED
 
Resource Mobilization, Fundraising and Grants Writing and Management Training Workshop :
THOUGH KWENYE IYO KAZI WALIKUA WANATAKA ACCOUNTANTS 15
 
mi pia nimepata iyo mail,nikaingiwa na wasi wasi nikaona eeh ngoja niulize....
 
hata mi hilo tangazo lao nililiona ila nilishtuka baada ya kuona hawana hata website,taarifa zao utazipata wapi...
 
Hiyo ni kweli kaka,jana hata mimi jamaa flani walitaka kunitapeli laki tisa
na nikawashtukia mapema.niliwatumia msg moja tu,akajua nimewagundua.
 
Jamani anaye wajua hawa africa self reliance foundatio tujuzane maana jana walitumia mail kwamba kutakuwa na workshop pale blue pearl hotel kwa wale walio kuwa selected kwa wale wa dar.

Tujuzane 0765268577 asanteni
 
Na mi walintumia ila ukichek kwa makin kabisa unagundua ina walakin..!!!
 
Tanzania ina mambo mengi sana ya kushangaza na kustaajabisha sana,inakuweje mtu amesajili line na still bado anaibia na kutapeli watu.Kwa nini mtu huyo asikamatwe kwa kuwa details zake zote ziko wazi kupitia mtandao anaoutumia kwa sababu amesjili line.Eti mtu anaetakiwa kufuatilia namba yoyote ni usalama wa Taifa hahahahahahahahaha tutakwisha nduguzanguni kwa sheria za ajabuajabu tu zisizo na kichwa wala miguu.Actually serikali ndo inayoendekeza hizi weakness zote
 
Na mm wamentumia mail, nina waswas nao hawa jamaa sababu hawana website wala nini halafu mbya zadi wanataka ulipie sh 10000 kwa mpesa halafu eti wata refund. Hebu m2 mwenye habari kamili na hawa wa2 atujuze vzuri hasa kwa ambao mko dar jaribuni kwenda hadi ofisin kwao Plot no.266 Uporoto Street Dar es salaam
 
Na mm wamentumia mail, nina waswas nao hawa jamaa sababu hawana website wala nini halafu mbya zadi wanataka ulipie sh 10000 kwa mpesa halafu eti wata refund. Hebu m2 mwenye habari kamili na hawa wa2 atujuze vzuri hasa kwa ambao mko dar jaribuni kwenda hadi ofisin kwao Plot no.266 Uporoto Street Dar es salaam

Msipoteze muda. Hao ni wezi. Ofisi iliyoko uporoto inaitwa Economic and Social Research Foundation (ESRF). Wamejaribu kutumia jina linaloendana
 
Hao wezi..mchakato wakuwatia nguvuni umeshaanza ila inatuwia vigumu kwa sasa simu yao haipokelewi wakipokea eti wapo kwenye vikao
 
Dah! Kweli dar chuo kikuu, na mie nimepata email yao, nikajiuliza maswali bila majibu, kweli watu wana uwezo wa kulipa elfu 60 per day na nauli inakuwa refunded alafu waweke tene longolongo za kutuma mpesa elfu 10? Kazi za shida hadi tunaomba kuvolunteer alafu watucharge tena jamani?


Utapeli mtupu!!!!!!!!!!!!!!!!1
 
Back
Top Bottom