Umefanya jambo jema kutahadharisha watanzania mkuu, hao ni wa kuwaepuka kama sisiem!Naandika huu Uzi kama tahadhari,
Hawa Jamaa " Arusha Home Design" wanaojinasibu kwa kutengeneza TV cases za kisasa na Majiko ya kisasa ni matepeli,
Niliwalipa 2.5M wanitengenezee TV cases, huu ni mwezi wa 3 wameshindwa kukamilisha kazi Yao,
Nikasema niwaase Wana Arusha na watanzania kwa ujumla wakae nao mbali,
Wakati mm napambana nao kimtaa, wengine wasije wakaaingia mkenge wakawapa kazi,
Hawafanyi kazi zao, na simu hawapokei mpaka uwapigie kwa namba Mpya, na ofisin kwao hawapo
Daily ofisi iko closed, ukifika wako ndani ila hawafungui geti,
Nimeandika kama tahadhari kwa Wana Arusha na waTanzania.
Mimi ntadeal nao personally, ila wengine wasije Ingia mkenge
Hawa Arusha Home Design ni Matapeli tu.
Ukifika wako ndani ila hawafungui geti, kwa nini hujaenda kituo cha Polisi kutoa taarifa wachukuliwe hatua za kisheria maana walipo panajulikana.Naandika huu Uzi kama tahadhari,
Hawa Jamaa " Arusha Home Design" wanaojinasibu kwa kutengeneza TV cases za kisasa na Majiko ya kisasa ni matepeli,
Niliwalipa 2.5M wanitengenezee TV cases, huu ni mwezi wa 3 wameshindwa kukamilisha kazi Yao,
Nikasema niwaase Wana Arusha na watanzania kwa ujumla wakae nao mbali,
Wakati mm napambana nao kimtaa, wengine wasije wakaaingia mkenge wakawapa kazi,
Hawafanyi kazi zao, na simu hawapokei mpaka uwapigie kwa namba Mpya, na ofisin kwao hawapo
Daily ofisi iko closed, ukifika wako ndani ila hawafungui geti,
Nimeandika kama tahadhari kwa Wana Arusha na waTanzania.
Mimi ntadeal nao personally, ila wengine wasije Ingia mkenge
Hawa Arusha Home Design ni Matapeli tu.
Sina muda na Polisi,Ukifika wako ndani ila hawafungui geti, kwa nini hujaenda kituo cha Polisi kutoa taarifa wachukuliwe hatua za kisheria maana walipo panajulikana.
Amejieleza vya kutosha na amesema atadili nao mwenyewe.Kwanini usiwafikishe kwenye Vyombo vya Usalama wakulipe Pesa yako?,Je uliwapa pesa yote kabla ya kazi?
Je hapo kabla ulienda ofisini kwao mkakubaliana Kwa maandishi au ulikutana nao tu mtandaoni ukawaamini ukawatumia hela?
Je walikupa namba za Benki za kampuni ukaweka pesa ukapewa risiti ya Benki kuonyesha umelipa na Majina ya hiyo kampuni yapo kwenye risiti?
Au uliwapa pesa mkononi tu Kwa kuwaamini kabla ya kufanya kazi?
Na makubaliano yenu yalikuwaje?
Umeuliza maswali ya msingi.Kwanini usiwafikishe kwenye Vyombo vya Usalama wakulipe Pesa yako?,Je uliwapa pesa yote kabla ya kazi?