tahadhari:airtel wameanza wizi wao tena!

tahadhari:airtel wameanza wizi wao tena!

wale wanao tumia vifurushi vya airtel kaeni makini sana.
wanaibaje?- Hawa jamaa ukijiunga na kifurushi cha siku, wiki au mwezi huwa wana disconnect kabla muda uliolipia haujaisha hasa kama simu yako au kifaa unachokitumia kina hela ya ziada. Ile siku ya mwisho ndo wanakata salio. lakini kama hamna salio mnaenda nao sawa hadi dakika ya mwisho.
So ukinunua kifurushi hakikisha kifaa unacho kitumia hakina heka ya ziada vinginevyo utakuta imekombwa yote.
Mimi baada ya kutokea hilo tatizo nikawaendea hewani wakaniambia tatizo wanalishughulikia lakini hamna kitu. Nami ntakomaa nao hadi wanirudishie hela yangu walio niibia. wameshanikomba salio langu kama mara tatu. So sasa hivi nakua makini na kubakiza hela ninunuapo kifurushi.
Natumia nafasi hii kuwaomba airtel waache kunifanyia uhuni mimi mlala hoi. ni hayo tu. mia
Una modem mpya au za zamani? nataka nikufundishe namna ya kuwaibia wao na utasahau kama bundle huwa zinanunuliwa. majizi sana haya mashenzi.
 
Kaka nimepost kwenye twitter yao jamaa akasema nitume namba yangu inbox nikatuma baada ya mida akanipigia nikamweleza tatizo na nikamwambia apitie jamii forums apate huakika kwa ni tatizo la wengi. Akasema kama nina namba ya mtu mwenye tatizo kama langu nimtumie aweze pata huhakika vizuri
 
mi nilishastukia huo upuuzi wao... tena imeanza juzi. Good bye airtel...
 
Back
Top Bottom