Kama ulishiriki michezo ya halaiki.................................
Kama ulicheza gwaride kwa 'bunduki' ya mbao................
Kama ulihudhuria mikutano iliyoanza kwa salamu ya Kidumu Chama cha .........au Zidumu fikra za m....ti.......................
Kama ulisafiri kwa reli au basi ukitumia warranty ya serikali...
Ilimradi tu uhenga huu una mengi ya kukumbuka.