Basi sawa uduguuu!! Linda heshima, ni kitu muhimu mnoo.Hahah mimi sina uoga kabisa na jf naimudu vizuri kabisa ndio maana nipo mpaka leo.
Lakini mimi ni mtu ninayependa kuheshimiwa hususani na watu ambao wananijua nje ya hapa. Kwa sababu hiyo ndio hadhi yangu na nina stahili. Hii inanipelekea kujiepusha kukutana na wehu.
Mimi sio mtu ambaye naweza kujitoa ufahamu kiasi kwamba nudes zangu kweli zivuje au mambo yangu ambayo hayakupaswa yawe hadharani yawe hadharani halafu nijidai kama vile sijaumizwa. Labda hayo mambo yawe sio ya kweli ila kama ni ya kweli sio siri nitakuwa nimeumizwa sana maana mimi nina heshima yangu ambayo ikivunjwa ni lazima nione aibu na sio kujitia roho ngumu kukomaa huku moyoni najua yaliyo sambazwa ni kweli na huyo mtu tunajuana in person kweli.
Kati ya somo nililofeli vibaya ni kukumbatia aibu na maumivu na kujidai walaaa sijaumia dear.
Sasa hayo mahusiano ndio yatakawao wasumbua, watahangaika kuyajuaUnajua nashangaa, kukulana kumekuwa hot topic humu. Hivi nikikubaliana na mtu humu tukaanzisha mahusiano watu wanaumia nini? Itakuwa hatuna mambo ya msingi kujadili..
You guys,mko na tambia mbaya kama matendo yenu humu๐คฃ.Tuwaambie ili iwejee? [emoji23][emoji23][emoji23]
@Mjep ndo baba tamuu angu na JF nzima inajua hilo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]You guys,mko na tambia mbaya kama matendo yenu humu[emoji1787].
Na wewe ulipita kwenye mikono ya kijibaba gani?
Yaani mambo mseto, na ma group yapo sana na wanajuana,wakikorofishana huko wanakuja kucharurana huku,Kuna Groups humu, kuna id unaziona huku na zinaelewana, na kuna id unaziona kwingine nazo zinaelewana ,kila kikundi nadhani kinataka info za mwenzake, wanafanyiana ujasusi wa mahusiano[emoji23][emoji23]
Eeeeh nilifkiri utani ..kumbe mko serious ๐คฃ,mbarikiweeee@Mjep ndo baba tamuu angu na JF nzima inajua hilo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kaa chonjo rafiki ,piga mishe zako ,humu njoo utoe stress zako,Yaani mambo mseto, na ma group yapo sana na wanajuana,wakikorofishana huko wanakuja kucharurana huku,
Ndiyo maana nakaaga chonjo rafiki[emoji23]
G amenasa kwa kungwiNdo maana ake. [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekumbuka kipindi kile wanazidis hizi nguo eti kama za binti wa abiudi misholi[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareee
Sina makasiriko mkuu, niliamua kujiweka pembeni mwenyewe kwani huyu Joannah ni binti mrembo sana na muungwana, niliona kama vile sitamuweza kummudu alivyo mrembo๐๐๐
Kwa hiyo nimeamua nimuage mapema asipoteze muda, nitapata mwingine panapo majaaliwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] noumaaahEeeeh nilifkiri utani ..kumbe mko serious [emoji1787],mbarikiweeee
Waombee wengine wasipishane na scammers JF.
Hii imeendaaa!!G amenasa kwa kungwi
Kivumbi [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniii wee nae ulizidi, bora umekuja Dar umebadilika kdgNimekumbuka kipindi kile wanazidis hizi nguo eti kama za binti wa abiudi misholi[emoji1787]
Yote ni ubatili tu, upate taarifa za mtu tena usiyemjua zikusaidie nini?
Upunguze na ukorofi muda mwingine๐คฃ..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] noumaaah
Utaniweza tu kwani unanibeba mgongoni๐๐Sina makasiriko mkuu, niliamua kujiweka pembeni mwenyewe kwani huyu Joannah ni binti mrembo sana na muungwana, niliona kama vile sitamuweza kummudu alivyo mrembo๐๐๐
Kwa hiyo nimeamua nimuage mapema asipoteze muda, nitapata mwingine panapo majaaliwa
Mtu anahangaikaje kujua mahusiano ya mtu asiyemfaham? Huu nao ni uchizi tu! Sema tu nina dam ya kunguni, ningeshajibebea mbabez wangu halafu nisikie wakinisema๐ ๐ ๐Sasa hayo mahusiano ndio yatakawao wasumbua, watahangaika kuyajua
Hahahahahaha, eti ni uchizi ๐๐ , ila kweli ni uchizi, unahangaika kujua nani anatoka na nani , mie humu sidhani km naeza beba totoz kwa sasaMtu anahangaikaje kujua mahusiano ya mtu asiyemfaham? Huu nao ni uchizi tu! Sema tu nina dam ya kunguni, ningeshajibebea mbabez wangu halafu nisikie wakinisema๐ ๐ ๐
Najibebea vizuri tu, halafu nabebishana nae live humu.๐ ๐ bahati mbaya tu sipendwi!!Hahahahahaha, eti ni uchizi ๐๐ , ila kweli ni uchizi, unahangaika kujua nani anatoka na nani , mie humu sidhani km naeza beba totoz kwa sasa
Tusiopendwa tuko wengi basi ,ila kweli ukimpata wako ,unajiachia tu ,Noma KwaoNajibebea vizuri tu, halafu nabebishana nae live humu.๐ ๐ bahati mbaya tu sipendwi!!