Tafuta series inayoitwa Graceland

Tafuta series inayoitwa Graceland

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,092
Reaction score
53,568
Kama una muda wa free na huna cha kufanya tafuta series inaitwa GRACELAND hutajuta.
 
Wakuu tafuteni Forever,Hysteria na Hand of God
 
Mie bwana toka subtitles zianze kutoka kwa wakorea,wajapan,na wachina series zao zinanikuna haswa na wapi fast hawanaga poteza poteza muda na waigizaji wengi ni vijana dhidi ya WAZEE wenye system kubwa ya maisha au kazi za western kwa sasa siangalii nilipita shule za kayumba. Na nahitaji maneno mengi ya lugha ya kiingereza
 
Back
Top Bottom