kakariri maisha huyo...Vipi kama simu hiyo ndo kitendea kazi kikuu cha kazi yako?
Kabisa mkuu, maana kuna watu wanatumia simu kupata wateja wa bidhaa zao, anataka kusema wanao fanya biashara kupitia simu, simu zao hazimalizi moto haraka?kakariri maisha huyo...