Tafsiri yangu binafsi juu ya utawala na kifo cha Hayati Magufuli (JPM)

Tajiri wa matajiri

Senior Member
Joined
Apr 17, 2024
Posts
166
Reaction score
664
TAFSIRI BINAFSI JUU YA KIFO CHA HAYATI JPM KATI YA MSITU MNENE WA TAFSIRI MBALIMBALI NCHINI.

Na Eng. Bishanga G.C. (Edc.facilitator & MP aspirant ) :Kyerwa, Kagera, Tanzania 🇹🇿
gbishanga90@gmail.com
0755372659/ 0625945455

Pole Tanzania, poleni Watanzania
Watanzania tumefiwa na Rais wa nchi, kiongozi wa ngazi ya juu kabisa kuachia nafsi yake ya uongozi kabla ya muda wake kuisha, tena na kutokana na Kifo. Buriani Hayati John Joseph Pombe Magufuri. Historia imeandikwa na Hakika mwendo umeumaliza na Iman yako binafsi umeilinda. Tangulia Shujaa, sisi tutakufuata lakini sasa ngoja tutafsiri yote uliotuachia na tujifunze kutokana na ukweli kwamba Kila jambo ni mpango wa MUNGU binadamu kujifunza.

Tafsiri Yangu juu ya Hayati Magufuli kwa watu Baki (wanyonge)
“Nafanya haya yote kwa ajili ya Watu wanyonge, watu masikini” ni Wimbo ulioimbwa na Hayati JPM Muda wote katika uongozi wake na hakika alionesha kwa vitendo dhamira ya kuwasaidia Wanyonge, masikini nao Waliamini hakika wamepata Kiongozi ambaye anatengeneza njia ya Neema na Matumaini kwa masikini, sasa tangu kutangazwa kwa Msiba huu mzito kila mtu mnyonge/masikini ukimsikiliza kuhusu kuguswa na masiba huo, wanaonekana kabisa KUKATA TAMAA NA MATUMAINI YAO YAMEKWISHA. Kwasababu walikuwa wanamuona JPM ndio MKOMBOZI pekee naye JPM alikuwa anawaona Masikini /wanyonge pekee kuwa ndio wanaostahili Kupata UKOMBOZI wa Kiuchumi. (Sasa Upande mmoja umeondoka na kuacha upande mmoja kuwa yatima )

My Take
Urais ni Taasisi inayopaswa Kujiendesha katika mipango ya kiutendaji na utekelezaji wa mipango hiyo kimfumo (collective responsibility) na sio kibinafsi (individuality), sasa kipi kimetokea wanyonge hawa masikini kukata tamaa ya matumaini waliokuwa nayo kwa JPM maanake ni kwamba Kilichokuwa kinawapa matumaini ya ukombozi sio Mfumo bali ni mtu aliyejiaminisha kaja kwa ajili yao, na baadaye anawaacha.

Nipende kushauri viongozi wakubwa wa kiserikali hasa wenye nafsi kubwa zaidi ya kimaamuzi mbalimbali hasa katika muhimili wa Kiserikali (Executive) waweze kutumia vyombo vya kiutendaji katika maamuzi Yaani kama Bunge (Parliament) na Mahakama (judicial) ambapo huko ndiko kutaonekana kabisa mifumo ya Pamoja inayopangika kikatiba kabisa kimaandishi na kutekelezeka Yaani (collective responsibility) kuliko kuwa na mtu mmoja ambaye amebeba maono (vision) yote kichwani pekeake (individuality)na mfano akija kuanguka shida hii inatokea.

Tafsiri yangu juu ya JPM na Waliobaki kwenye Chama Cha Mapinduzi (CCM) dhidi ya Vyama vya upande wa pili (Vyama vipanzani).

Niseme wazi mimi ni kada mtihifu kabisa wa chama cha mapunduzi , kama Mwanachama nimeumia sana juu ya msiba huu mzito uliotufika kama Taifa lakini kama chama kupoteza Mwenyekiti wa chama chetu aliyetuunganisha takribani kwa miaka 6 ya uongozi wake. Chama kimekuwa madarakani tangu nchi hii kupata uhuru, na kipindi chote hicho chama kimeweza kuleta maendeleo ya hakika kwa vipindi tofauti tofauti vya miaka kumi, kumi kwa awamu nne tofauti kuongozwa na marais tofauti mpaka hii awamu ya tano ya JPM tumefikia Uchumi wa kati, ni Safari ndefu kupigwa tangu tupate Tuanze siasa ya vyama vya upinzani (1992) na uchaguzi wa kwanza wa vyama vya upinzani (1995) naamini mawazo mbadala ya kutoka upande wa pili (vyama pinzani) ndio yaliwezesha kutuimarisha zaidi kama chama kuwa IMARA ZAIDI, hata katika upangazi wa sera na Itikadi umekuwa kuimarika na kuwa bora zaidi katika ILANI zetu za uchaguzi na kuwashinda upande wa pili (vyama pinzani).

My Take
Siasa sio Uadui bali ni chanzo cha kuibua mawazo na fikira kinzani ambazo zikichakatwa vyema zile fikira au wazo zuri lita shida wazo jingine, hivyo chama kimoja ni pinzani au mbadala wa chama kingine kwasababu vyote huleta na kutoa mawazo na fikira tofauti kwa nwenzake (hivyo dhana ya kutaka kuviondoa vyama pinzani, Si fikira sahihi kwasababu ni vyama vinavyotufanya tuimarike zaidi na kuwa chama Tawala kikuu dhidi ya vyama vingine).

Tupendane na kuwafanya Wapinzani ni miongoni mwa wachangia maendeleo nchini, Tukifanya hivyo tutawafanya hata wao kuwa wazalendo wa kuisemea vizuri nchi yetu na sio baadae kuwa “Treat Negative “ na kupandikiza chuki kwao kisha wanaamua hasira zao kuzipeka huko mataifa ya mbali na kuisemea vibaya nchi yetu nasisi tunaanza kuwaita “MABEBERU”. Nchi ni yetu yote kwahiyo sisi tulibaki tupeane nafasi vyema tuijenge nchi yetu kwa Pamoja kati ya mawazo mbadala kwakuwa “MAWAZO HAYAPIGWI RUNGU, MAWAZO BORA ZADI YANAZIDI YALE MWENGINE”

Mwisho zaidi hatuna budi kuanza upya kurekebisha pale kuliko na upungufu na kuijenga nchi yetu na kuendeleza yale mazuri ambayo Hayati JPM aliyaanzisha na hasa yale mambo mazuri aliyokuwa akiyaamini na kuyatekeleza bila ya kushirikisha Mihimili mengine kama Bunge na mahakama basi yaende huko yakatachakatwe na yaletwe katika maandishi ili yaingie kwenye utekelezaji na sio kuondoka nayo na kupoteza mambo mazuri ambayo mpendwa wetu Hayati JPM aliyaanzisha.
 
Kwahiyo bado mnaomboleza?

Katika_Historia:%0APamoja_na_kwamba_ALIZIMIA_baada_ya_kuuona_mwili_wa_mpendwa_wetu_MFUKO_hakuu...jpg
 
Achana na huu ujinga.
Magufuli alishakufa, hakuwa na falsafa yoyote ya kuwaongoza watu zaidi ya mawazo yake, chuki zake na mapenzi yake kwa kile tu alichokiwa anakiamini au kukitaka yeye.

Ni wajinga na wavivu wakufikiri ndio wanaoweza kumkumbuka na kumshabikia kwa ule uongozi wake wa kiimla.
 
TAFSIRI BINAFSI JUU YA KIFO CHA HAYATI JPM KATI YA MSITU MNENE WA TAFSIRI MBALIMBALI NCHINI.

Na Eng. Bishanga G.C. (Edc.facilitator & MP aspirant ) :Kyerwa, Kagera, Tanzania 🇹🇿
gbishanga90@gmail.com
0755372659/ 0625945455

Pole Tanzania, poleni Watanzania
Watanzania tumefiwa na Rais wa nchi, kiongozi wa ngazi ya juu kabisa kuachia nafsi yake ya uongozi kabla ya muda wake kuisha, tena na kutokana na Kifo...
"Na Mimi nataka niseme Watanzania mtanikumbuka na mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya kwasababu nimesacrifice maisha yangu kwa wananchi masikini"
 
Achana na huu ujinga.
Magufuli alishakufa na kuoza, hakuwa na falsafa yoyote ya kuwaongoza watu zaidi ya mawazo yake, chuki zake na mapenzi yake kwa kile tu alichokiwa anakiamini au kukitaka yeye.
Ni wajinga na wavivu wakufikiri ndio wanaoweza kumkumbuka na kumshabikia kwa ule uongozi wake wa kiimla.
Wewe ni Mpuuzi
 
Nitamkumbuka daima JPM, na sina ubaya na waliopo sasa nao wana mchango wao, na yeye alikuwa na mchango wake

Ila nimejifunza vingi kupitia uongozi wake ila muhimu ni

Uthubutu, kufanya maamuzi na msimamo

Hakuna kitu kizuri kama kuwa na kiongozi mwenye uthubutu na mwenye kuweka shime katika kusimamia maamuzi yake
 
Afadhali kuna wanaojitambua
 
TAFSIRI BINAFSI JUU YA KIFO CHA HAYATI JPM KATI YA MSITU MNENE WA TAFSIRI MBALIMBALI NCHINI.

Na Eng. Bishanga G.C. (Edc.facilitator & MP aspirant ) :Kyerwa, Kagera, Tanzania 🇹🇿
gbishanga90@gmail.com
0755372659/ 0625945455

Pole Tanzania, poleni Watanzania
Watanzania tumefiwa na Rais wa nchi, kiongozi wa ngazi ya juu kabisa kuachia nafsi yake ya uongozi kabla ya muda wake kuisha, tena na kutokana na Kifo...
Mbona akuna tatizo, maana vyote vinaendelea na tunaendelea na aliye mchagua yeye!!
 
TAFSIRI BINAFSI JUU YA KIFO CHA HAYATI JPM KATI YA MSITU MNENE WA TAFSIRI MBALIMBALI NCHINI.

Na Eng. Bishanga G.C. (Edc.facilitator & MP aspirant ) :Kyerwa, Kagera, Tanzania
gbishanga90@gmail.com
0755372659/ 0625945455

Pole Tanzania, poleni Watanzania
Watanzania tumefiwa na Rais wa nchi, kiongozi wa ngazi ya juu kabisa kuachia nafsi yake ya uongozi kabla ya muda wake kuisha, tena na kutokana na Kifo. Buriani Hayati John Joseph Pombe Magufuri. Historia imeandikwa na Hakika mwendo umeumaliza na Iman yako binafsi umeilinda. Tangulia Shujaa, sisi tutakufuata lakini sasa ngoja tutafsiri yote uliotuachia na tujifunze kutokana na ukweli kwamba Kila jambo ni mpango wa MUNGU binadamu kujifunza.

Tafsiri Yangu juu ya Hayati Magufuli kwa watu Baki (wanyonge)
“Nafanya haya yote kwa ajili ya Watu wanyonge, watu masikini” ni Wimbo ulioimbwa na Hayati JPM Muda wote katika uongozi wake na hakika alionesha kwa vitendo dhamira ya kuwasaidia Wanyonge, masikini nao Waliamini hakika wamepata Kiongozi ambaye anatengeneza njia ya Neema na Matumaini kwa masikini, sasa tangu kutangazwa kwa Msiba huu mzito kila mtu mnyonge/masikini ukimsikiliza kuhusu kuguswa na masiba huo, wanaonekana kabisa KUKATA TAMAA NA MATUMAINI YAO YAMEKWISHA. Kwasababu walikuwa wanamuona JPM ndio MKOMBOZI pekee naye JPM alikuwa anawaona Masikini /wanyonge pekee kuwa ndio wanaostahili Kupata UKOMBOZI wa Kiuchumi. (Sasa Upande mmoja umeondoka na kuacha upande mmoja kuwa yatima )

My Take
Urais ni Taasisi inayopaswa Kujiendesha katika mipango ya kiutendaji na utekelezaji wa mipango hiyo kimfumo (collective responsibility) na sio kibinafsi (individuality), sasa kipi kimetokea wanyonge hawa masikini kukata tamaa ya matumaini waliokuwa nayo kwa JPM maanake ni kwamba Kilichokuwa kinawapa matumaini ya ukombozi sio Mfumo bali ni mtu aliyejiaminisha kaja kwa ajili yao, na baadaye anawaacha.

Nipende kushauri viongozi wakubwa wa kiserikali hasa wenye nafsi kubwa zaidi ya kimaamuzi mbalimbali hasa katika muhimili wa Kiserikali (Executive) waweze kutumia vyombo vya kiutendaji katika maamuzi Yaani kama Bunge (Parliament) na Mahakama (judicial) ambapo huko ndiko kutaonekana kabisa mifumo ya Pamoja inayopangika kikatiba kabisa kimaandishi na kutekelezeka Yaani (collective responsibility) kuliko kuwa na mtu mmoja ambaye amebeba maono (vision) yote kichwani pekeake (individuality)na mfano akija kuanguka shida hii inatokea.

Tafsiri yangu juu ya JPM na Waliobaki kwenye Chama Cha Mapinduzi (CCM) dhidi ya Vyama vya upande wa pili (Vyama vipanzani).

Niseme wazi mimi ni kada mtihifu kabisa wa chama cha mapunduzi , kama Mwanachama nimeumia sana juu ya msiba huu mzito uliotufika kama Taifa lakini kama chama kupoteza Mwenyekiti wa chama chetu aliyetuunganisha takribani kwa miaka 6 ya uongozi wake. Chama kimekuwa madarakani tangu nchi hii kupata uhuru, na kipindi chote hicho chama kimeweza kuleta maendeleo ya hakika kwa vipindi tofauti tofauti vya miaka kumi, kumi kwa awamu nne tofauti kuongozwa na marais tofauti mpaka hii awamu ya tano ya JPM tumefikia Uchumi wa kati, ni Safari ndefu kupigwa tangu tupate Tuanze siasa ya vyama vya upinzani (1992) na uchaguzi wa kwanza wa vyama vya upinzani (1995) naamini mawazo mbadala ya kutoka upande wa pili (vyama pinzani) ndio yaliwezesha kutuimarisha zaidi kama chama kuwa IMARA ZAIDI, hata katika upangazi wa sera na Itikadi umekuwa kuimarika na kuwa bora zaidi katika ILANI zetu za uchaguzi na kuwashinda upande wa pili (vyama pinzani).

My Take
Siasa sio Uadui bali ni chanzo cha kuibua mawazo na fikira kinzani ambazo zikichakatwa vyema zile fikira au wazo zuri lita shida wazo jingine, hivyo chama kimoja ni pinzani au mbadala wa chama kingine kwasababu vyote huleta na kutoa mawazo na fikira tofauti kwa nwenzake (hivyo dhana ya kutaka kuviondoa vyama pinzani, Si fikira sahihi kwasababu ni vyama vinavyotufanya tuimarike zaidi na kuwa chama Tawala kikuu dhidi ya vyama vingine).

Tupendane na kuwafanya Wapinzani ni miongoni mwa wachangia maendeleo nchini, Tukifanya hivyo tutawafanya hata wao kuwa wazalendo wa kuisemea vizuri nchi yetu na sio baadae kuwa “Treat Negative “ na kupandikiza chuki kwao kisha wanaamua hasira zao kuzipeka huko mataifa ya mbali na kuisemea vibaya nchi yetu nasisi tunaanza kuwaita “MABEBERU”. Nchi ni yetu yote kwahiyo sisi tulibaki tupeane nafasi vyema tuijenge nchi yetu kwa Pamoja kati ya mawazo mbadala kwakuwa “MAWAZO HAYAPIGWI RUNGU, MAWAZO BORA ZADI YANAZIDI YALE MWENGINE”

Mwisho zaidi hatuna budi kuanza upya kurekebisha pale kuliko na upungufu na kuijenga nchi yetu na kuendeleza yale mazuri ambayo Hayati JPM aliyaanzisha na hasa yale mambo mazuri aliyokuwa akiyaamini na kuyatekeleza bila ya kushirikisha Mihimili mengine kama Bunge na mahakama basi yaende huko yakatachakatwe na yaletwe katika maandishi ili yaingie kwenye utekelezaji na sio kuondoka nayo na kupoteza mambo mazuri ambayo mpendwa wetu Hayati JPM aliyaanzisha.

Eng. please weka straight forward ,tupo kwenye dunia ya huru tusiwe waoga. Uoga wa Raïa ndio umefanya Tanzania kuwa nchi masikini wa kutupwa.

Weka straight forward kuwa Mama ni another failure kwa Taifa na hakuna anachofanya zaid ya chawa kumpa promo, tuongee ukweli Mama katurudisha nyuma and we are living in the past , worst enough, kazungukwa na wahuni ambao wanautamani urais kwa njia yoyote matokeo yake ni kumpamba ili wasiwe mbali na harufu ya urais. Big chawa anaelewa hili

Nchi inakopa never seen . Dola haijawai kuwa juu kwa kipindi kirefu hivyo tangu Tanzania iumbwe

, pesa zinakopwa sana kwa ajili ya miradi na zinapigwa mnooo, hakuna usimamizi thabiti wa hizo fedha and Mam does not know what else to do ame stuck .

Safari nje ambazo zinaenda kukopa mahela na zinakuja kupigwa na wahuni. Nimeona kuna mbunge katumwa kwamba kila laini ikatwe fedha kwa ajili ya miradi, yaani nchi haina hela hadi inataka kukata watu kwa laini; kama wangejua cuff off Yao sio kukata kodi bali ni usimamizi wa hizo fedha haupo, kila mtu anaweza kufanya chochote kitu.

Tuweke wazi kuwa tumevurugika zaid ya kile kipind cha JK , nchi haina control. Watumishi hewa wamefloat, vyeti feki vimerudi vyote, mishahahara hewa imezidi.

Kama kijana msipotoboa kwenye utawala loose kama huo wa samia, hamtotoboa tena.

TZ Inahistory, fuatilieni trend , next president atakuwa katili na mkali, hakikisheni mnapiga vya kutosha kipindi hiki cha holela holela

Pambaneni ila tambueni kuna watu wana mawe hapo TZ kwa sasa never seen.

Hakuna nchi iliyoendelea kwa kuwa na raia wa nyuma ya keyboard.
 
Achana na huu ujinga.
Magufuli alishakufa, hakuwa na falsafa yoyote ya kuwaongoza watu zaidi ya mawazo yake, chuki zake na mapenzi yake kwa kile tu alichokiwa anakiamini au kukitaka yeye.

Ni wajinga na wavivu wakufikiri ndio wanaoweza kumkumbuka na kumshabikia kwa ule uongozi wake wa kiimla.

Sio kweli dogo , he had his weaknesses and strengths . Kwa Watz Wengi JPM was the best president. Lakini pia mawazo yako yanaheshimika , tupo dunia ya uhuru dogo
 
Back
Top Bottom