Tafsiri ya kweli ya jina-Tigo.

Tafsiri ya kweli ya jina-Tigo.

matangazo yanalipiwa mkuu. japo la kwako umelileta kwa staili ya kipekee, wabongo mnaakili sana sijawai ona
 
Kama kumbukumbu zangu zitakuwa vizuri,hili wa watu kuitafsiri tigo tofauti haikutokana na jina hilo Bali walikuwa na tangazo lao lenye kufikirisha mambo flani.Sina uhakika sana nahisi ni ile ------- twanga kote kote .
inawezekana mkuu, Joti tatizo.
 
Hahaha mwanzo walianza na kauli mbiu ya "Express yourself!" Ndio ilianzisha balaa 😂😂😂, wahuni wakatafsiri ile logo ya tigo hasa ule muundo wa herufi 'o' kuulinganisha na kiungo flani cha siri cha mwanadamu(puru).
Tigo ilianza kutumika kama msimu zagao tu ila kwa sasa nadhani unakaribia kuingizwa katika kamusi maana kampuni ya tigo is there to stay.
Aisee!!
 
Siku zote sikua nikikubaliana na tafsiri ya jina la mtandao pendwa wa simu la Tigo , ambalo kila mtu amekua akilitafsiri kwa namna apendavyo. nilikua nikiitafuta tafsiri ya kweli na leo nimeipata. hivyo napenda kuwajuza wana Jf ambao nao walikua hawaijui-
Jina tigo linatokana na muunganiko wa maneno mawili, ti na go. ti nineno lisilo na maana maalum linalotafsiri kuwa ni kishindo cha kuanguka kwa kitu au mtu, na neno go- nilakiingereza lenye maana ya kwenda mbele. (ubunifu wa mchina huo)lengo ni kuwatia moyo wale ambao hawakufanikiwa katika jambo fulani "waliofeli" wasikate tamaa,wasihuzunike bali waendelee kujaribu au kufanya mambo mengine. kwahiyo "ti" umeanguka "go" nyanyuka uende sio kubaki hapo unalalamika. wasomi wanatwambia" Do'nt get too worried about fail but take it as a lesson lernt to do differently at the other time"
Chordo
 
acha zako ni dondoka tiiii chini piga mashine alafu gooo au kimbia, kula kona. huwezi kuiachanisha tigo na mambo ya mikuyenge, washeri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom