Siri ya sifuri
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,581
- 2,224
Siku zote sikua nikikubaliana na tafsiri ya jina la mtandao pendwa wa simu la Tigo , ambalo kila mtu amekua akilitafsiri kwa namna apendavyo. nilikua nikiitafuta tafsiri ya kweli na leo nimeipata. hivyo napenda kuwajuza wana Jf ambao nao walikua hawaijui-
Jina tigo linatokana na muunganiko wa maneno mawili, ti na go. ti nineno lisilo na maana maalum linalotafsiri kuwa ni kishindo cha kuanguka kwa kitu au mtu, na neno go- nilakiingereza lenye maana ya kwenda mbele. (ubunifu wa mchina huo)lengo ni kuwatia moyo wale ambao hawakufanikiwa katika jambo fulani "waliofeli" wasikate tamaa,wasihuzunike bali waendelee kujaribu au kufanya mambo mengine. kwahiyo "ti" umeanguka "go" nyanyuka uende sio kubaki hapo unalalamika. wasomi wanatwambia" Do'nt get too worried about fail but take it as a lesson lernt to do differently at the other time"