Tafsiri ya kukutana "kimwili"

teh teh teh kama baba Askofu Gwajiboy......anakata viuno na makalio kabana kama mfuniko wa kopo la kimbo binti hana habari

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Nmecheka sana jamN ..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™‚una nn ww lakini..dah...aiseeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...yule dada aliniletea makwazo sana san yaan
 
Mtoa mada ndo lilikua lengo hili😊
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Nmecheka sana jamN ..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™‚una nn ww lakini..dah...aiseeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...yule dada aliniletea makwazo sana san yaan

Tunafundisha masomo kwa mifano ili watu waelewe vizuri dadaangu........wangeanza sema oooh leta picha wamzongee kaka Mshana Jr mie nimeweka kielelezo(kwenye ramani tunaita UFUNGUO)

Nje ya mada: Alikuletea makwazo kivipi???
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ngoja nicheke kwanza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Key:
 
Tunafundisha masomo kwa mifano ili watu waelewe vizuri dadaangu........wangeanza sema oooh leta picha wamzongee kaka Mshana Jr mie nimeweka kielelezo(kwenye ramani tunaita UFUNGUO)

Nje ya mada: Alikuletea makwazo kivipi???

.Aliniboa...yule hakufika kbs .na hakufeel kbs .alotulia tulii..kama mjane ndo kaanua matanga😏😏😏
 
Mke na mme wapo wasio kutana kiroho wakati wa ngono?
Tunaotoa ushauri nasaha tunakumbana na ndoa nyingi tu za watu hao. Unawezaje kukaa na mwanamume mmeoana miaka 8. Miaka 5 ya kwanza mlikuwa mko poa kabisa ghafla unaanza kusikia maumivu makali akuingiapo!! Huko ni kukatika kwa kule kukutana kiroho. Unamwona ka jitu tu linalokuingia bila ridhaa yako
 
[emoji848][emoji848][emoji25][emoji25][emoji25]
 
Bila shaka na wewe #demisse mlikutana kimwili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…