runtown JF-Expert Member Joined Feb 16, 2018 Posts 844 Reaction score 1,169 May 15, 2019 #1 Habarini wadau naomba tafsiri ya hi picha hapa najua kuna wajuvi na waju...zi wa hizi. Mambo niliplani wakifungua aplication on spot ni aply na nikafanya hivo. Sasa naona tena wamefunga hamna tena kutuma maombi sa sijui dishi lao limeyumba au ni vp
Habarini wadau naomba tafsiri ya hi picha hapa najua kuna wajuvi na waju...zi wa hizi. Mambo niliplani wakifungua aplication on spot ni aply na nikafanya hivo. Sasa naona tena wamefunga hamna tena kutuma maombi sa sijui dishi lao limeyumba au ni vp
Humorous Junior JF-Expert Member Joined Jul 19, 2018 Posts 1,599 Reaction score 1,422 May 16, 2019 #2 Itakuwa dish limeyumba, be patient Mambo bado sana