msindikizaji
JF-Expert Member
- Aug 29, 2010
- 1,763
- 2,883
Ataelewa nini huyo wakati kakuta tayari tv zimejaa mjiniHizi stori zingine mnaokoteleza kwenye vijiwe vya kahawa na kuleta kwenye jukwaa. Nadhani Mwinyi wakati anaongoza nchi wewe ulikuwa bado mtoto mdogo,hakuna unachojua.
Mwinyi alipokea nchi ikiwa hoi bin taabani kiuchumi! Akafufua uchumi na kuweka msingi ambao Mkapa alikuja kuendelea kuboresha.
Hali ya uchumi wa Tanzania ilikuwa mbaya mno wakati Mwinyi anapokea nchi kutoka kwa Nyerere. Wanaomdharau Mwinyi wanalishwa matango pori tu na waganga njaa!