Tafsiri potofu ya agizo la Rais Samia kuhusu kodi itaigharimu Serikali

Ndugu zangu,

Rais Samia kwania njema kabisa ametaka TRA waache mabavu kukusanya kodi. Ila kwa uzoefu na hulka ya binadamu huwa hawapendi kulipa kodi.Naam kodi ikusanywe kwa mujibu wa sheria bila uonevu ila kuna haya ya kuangaliwa laa sivyo serikali itakosa zaidi...
Uko sahihi. Bongo kila kitu kinaangaliwa kama ''fursa'' Kuna watakaokimbiza watu wa TRA na mapanga kwa kudhani kuwa hawastahili tena kulipa kodi. Kuna kitu kimoja kinatakiwa kifanyike.

Viwango na idadi ya kodi iangaliwe na kufanyiwa marekebisho kulingana na hali halisi. Bora viwango viwe vidogo lakini watu wavutike kulipa kuliko viwango kuwa vikubwa huku watu wanaona ugumu kulipa.
 
Ndugu zangu,

Rais Samia kwania njema kabisa ametaka TRA waache mabavu kukusanya kodi. Ila kwa uzoefu na hulka ya binadamu huwa hawapendi kulipa kodi.Naam kodi ikusanywe kwa mujibu wa sheria bila uonevu ila kuna haya ya kuangaliwa laa sivyo serikali itakosa zaidi...
Wewe ndiye hujamwelewa rais, kama wewe sio mfanyabiashara hutaelewa anamaanisha nini, watu walikuwa wanabambikiziwa kodi na TRA ukishindwa kulipa biashara yako inatiwa kufuli bila maelezo ya ziada.
 
Wewe ndo akili ya tone la mkojo kabisa..

Waimba mapambio mnakimeshwa. Muda wa wafanya biashara kushine tena. Kajipange lumumba hapo upewe buku saba yako
Wana roho za kwanini....hawa ni wale waliokuwa wanajiita maskini jeuri... yaani hawana kitu hlf wanafurahia kusikia mtu kafilisiwa akiamini wako level moja. Sasa wanaogopa kuachwa
 
Ndugu zangu,

Rais Samia kwania njema kabisa ametaka TRA waache mabavu kukusanya kodi. Ila kwa uzoefu na hulka ya binadamu huwa hawapendi kulipa kodi.Naam kodi ikusanywe kwa mujibu wa sheria bila uonevu ila kuna haya ya kuangaliwa laa sivyo serikali itakosa zaidi
Mama kasema atakutana na hizo idara kwa mipango ya kina, umetoka zako kula ugali na furu huko Buseresere unaanza tu kupayuka, eleweni zama zenu zimeshakwisha!
 
Malengo yenu ya kukusanya trillion 2 yana uhalisia au nayo yalikuwa matamanio? Ukijibu hili swali labda tutapata cha kujadili.

Isijekuwa kama mtu aliyejenga nyumba ya kupanga kwa million 70 huko katavi halafu anataka kukusanya laki 8 kwa mwezi kama kodi ya nyumba.

Swali ni je, mna hizo biashara za kukusanya trillion 2?
 
Ndugu zangu,

Rais Samia kwania njema kabisa ametaka TRA waache mabavu kukusanya kodi. Ila kwa uzoefu na hulka ya binadamu huwa hawapendi kulipa kodi.Naam kodi ikusanywe kwa mujibu wa sheria bila uonevu ila kuna haya ya kuangaliwa laa sivyo serikali itakosa zai
Wewe ndio unapotosha. Walipakodi tumemwelewa Mama. Mlizoea kutumia mabavu hata kumega tonge la ugali....
 
Acheni roho mbaya nyie mliokuwa mnashangilia wafanya biashara kufilisiwa kwa dhuluma tu!

Rais Samia hajawaambia TRA wasikusanye kodi, ila kawaagiza wakusanye kodi kwa haki siyo kudhulumu watu!

Tatizo kuna watu ni Saddist kama mtoa mada ambaye anafurahi kuona watu wakifilisiwa wakidhulumiwa wakiteseka! Acha watu walipe kodi kwa haki na siyo kwa mateso na unyanganyi.

Wenye akili wanamuelewa mama Samia, ila walio zoea kulamba viatu ndo mnateseka hiyo awamu ilishapita tayari;

Mlizoea kula kwa dhuluma sasa fanyeni kazi kwa haki!
Wafanya biashara wepi waliteseka kwa kuonelewa?
Kuna watu walifuata utaratibu wakateseka?
Kwanini ukwepe kodi?
 
Ndugu zangu,

Rais Samia kwania njema kabisa ametaka TRA waache mabavu kukusanya kodi. Ila kwa uzoefu na hulka ya binadamu huwa hawapendi kulipa kodi.Naam kodi ikusanywe kwa mujibu wa sheria bila uonevu ila kuna haya ya kuangaliwa laa sivyo serikali itakosa zaidi;

Mosi,kukubali hadharani kuwa miezi mitano au sita ijayo mapato ya serikali yatashuka ni ujumbe kwa TRA kuwa wasifanye jitihada kukusanya mapato.Sijajua serikali itafidia vipi upungufu huu wa makusanyo.

Pili,ni hulka ya binadamu kutopenda kulipa kodi sasa kuamini kuwa mfanyabiashara atatoa taarifa zake sahihi kwa TRA hapa kuna shida na hii inatoa mwanya mkubwa kwa watumishi wa TRA na Wafanyabiashara kuamua ngapi ziende Serikalini.

Nimalize kwa kusema kuwa maagizo ya Rais Samia kuhusu kodi yamepata tafsiri potofu na kama serikali isiporekebisha yale malengo ya kukusanya trilioni mbili kila mwezi yatabaki kama matamanio.
Mama yupo makini anajua uzito wa kila neno analoongea sii yule bwana.
 
Umefufuka? Unataka kila mtu awaze na kukubalia Kama ulivyowaza wewe? Perception differ from one person to another! Inategemea wakati wewe unamsikiliza au kumsoma ilikuwa kwenye mood au feelings za aina gani!
Kwa bandiko lako hili unaonekana kuwa upo kwenye denial ambapo ukiing'ang'ania itakusukuma kwenye anger state. Mataga mmekutwa na Nini?
 
Ngoja tuone! Na akicheza vibaya atashindwa kuimaliza miradi aliyoiacha hayati.

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda mbele za watu aseme hivyo ila kwenye hivyo vikao anavyoenda kukaa nao awaambie kazeni nati...mbongo bila kumsukuma sukuma kulipa kodi sahau, sio wa kumbembeleza kwenye kulipa kodi...atakudanyanga anachokusanya au atakukwepa...
 
Nyie watu muwe waelewa basi,si kweli kwamba watu hawapendi kulipa kodi,ukweli ni kuwa kodi ziwe rafiki.
Kuhusu hiyo ya kukiri kuwa mapato yatapungua.mbona umeshibdwa kugusia kauli yake kuwa anataka kodi halali na sio ya dhulma!Anesema mtu anapewa tax clearance mwaka huu,halafu mwakani anatakiwa apeleke tena hesabu zake za kodi.akishindwa atapewa kesi ya uhujumu uchumi.
Matokeo yake mtu anajikakamua kutoa kodi zaidi hali inayopelekea biashara kufa. Hizo kodi za dhulma ni mkubwa hazitaki anaona nora figure zishuke lakini sio kodi za dhulma.
Lakini pia hilo ni jambo la muda mfupi ambapo kadri muda unavyoenda kodi ndio itaongezeka kutokana na wengi kufanya biashara zao kwa kuwa mazingira yatakua rafuki.
 
Back
Top Bottom