Tafsiri kwa lugha ya kiingereza

lushalila

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2015
Posts
282
Reaction score
109
Wanajamvi naomba mwenye kujua anijuze kwa kiingereza kile kitu ambacho huwa kinaning'inia mwishoni mwa mkungu wa ndizi, ni cha rangi ya damu ya mzee ,mara nyingi baada ya ndizi kuchanua chane zake vizuri hukatwa.

Kwa wakazi wa mkoa wa Kagera huita ’’endilalila‘‘
 
Umesema cha dam ya mzee..
Kinaitwa Maroon thing in banana tree[emoji3] [emoji3] wanakuja lakn
 
Kiswahili (English): FUMBUFUMBU (BELL- kama ile ya mlangoni. MALE BUD) , MKUNGU WA NDIZI ( BANANA BUNCH).
 
Vyakula ambavyo havipo ulaya havina kizungu..... ulaya hakuna migombA.
 
Tulia hapo hapo ... nalifanyia kazi.
 


• a red bud
at the end of the spike
containing the male flowers;
the male flowers die quickly
and the bud slowly becomes smaller.
 
Vyakula ambavyo havipo ulaya havina kizungu..... ulaya hakuna migombA.
Kweli kabisa Mkuu, hata hilo jina 'Banana' Kiingereza kimelikopa kutoka Ki-Spanish 'Banano' ambalo asili yake kabisa ni west Africa.
 
Linaitwa banana flower au banana heart. Wajapan wakorea wachina hutengenezea kachumbari. Ni tamu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…